Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,032
- 63,174
Bado tunatakiwa tuendelee kuchukua tahadhari,na maisha ya kawaida lazima yaendelee mkuu,milipiko haitaisha,ni kama unavyoona Ebola inakuja na kuondoka,inapokuwepo tahadhari inawekwa na pale ugonjwa ukiisha au kupungua maisha ya kawaida yanasonga...Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.
Katika hali kama hiyo hii ni hatari sana iwapo kuna watu wana virusi vya korona bila dalili (asymptomatic carriers) wanaweza kusambaza virusi miongoni mwao na pia kuupeleka huko kwenye kaya zao
Sisi kama taifa bado hatujawa serious kwenye kupambana na ugonjwa huu
Tunaona katika baadhi ya nchi kuna resurgence ya huu ugonjwa, kwa mfano Israel, China, South Korea n. k
Badala ya kuongea kwenye lips kuwa tuchukue tahadhari wakati matendo yetu yakiwa ni opposite, ni bora tuwe serious.
Korona inakuja kwenye waves, unaweza kukwepa wave ya kwanza ikaja wave ya pili, na ya tatu
Tukijisahau tunaweza kuja kujuta
Tuwe makini
Baada ya week mbili wataanza kuugua
[/QUOT
Subiri uone misiba inayofuata mwezi ujao.Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.
Katika hali kama hiyo hii ni hatari sana iwapo kuna watu wana virusi vya korona bila dalili (asymptomatic carriers) wanaweza kusambaza virusi miongoni mwao na pia kuupeleka huko kwenye kaya zao
Sisi kama taifa bado hatujawa serious kwenye kupambana na ugonjwa huu
Tunaona katika baadhi ya nchi kuna resurgence ya huu ugonjwa, kwa mfano Israel, China, South Korea n. k
Badala ya kuongea kwenye lips kuwa tuchukue tahadhari wakati matendo yetu yakiwa ni opposite, ni bora tuwe serious.
Korona inakuja kwenye waves, unaweza kukwepa wave ya kwanza ikaja wave ya pili, na ya tatu
Tukijisahau tunaweza kuja kujuta
Tuwe makini
HahahahahhhahahahahaUkiangalia baadhi ya wabunge wa upinzani wamevaa,ila mkuu usihangaike wale ni watu wazima ,wakiumwa watasaidiwa na jeshi la polisi kupigania afya zao
Inawezekana corona imeisha kweli or haiko fairNimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.