Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Gari aina ya NOAH limekamatwa likiwa limebeba watoto wanafunzi 34 wa shule pamoja na mwalimu wao jumla 35.
Wanafunzi hao ni wa darasa la pili kutoka shule ya Diamond, Olimpio, Kisutu Maktaba na Bunge gari hiyo imekamatiwa eneo la round about Gerezani wakielekea Vijibweni Kigamboni.
Dereva na wahusika wa gari hilo wanashikiliwa na jeshi polisi kwa mahojiano zaidi.