HATARI : Watu 3 mbaroni kwa kuwabeba watoto wanafunzi 34 kwenye gari aina ya NOAH

Hivi hii noah ingepata ajali Hawa watoto wangenusirika kweli? Hawa walimu na driver wao wanatakiwa wachukuliwe hatua kali kwa kweli, hivi kwa nini walimu hamuishi vituko? Nimejikuta Nawaza kwa sauti
 
nani kakwambia gari inajaa?
ndoo ya maji pekee ndio inajaa
haa haaaa...!
 
Nenda bonde la Mwakaleli, ukitokea Katumba(Tukuyu) ndio utagundua jinsi gani watu wanapenda pesa kuliko utu...
Noah inabeba watu zaidi ya 30..
Kiongozi hapa umeongeza chumvi, hata kama inabeba excess sio zaidi ya 15 kwa Noah tena watu wazima.

Hii tragedic move imewezekana kwa sababu ni watoto wadogo wanaOccupy nafasi ndogo ukilinganisha na mtu mzima.

Mfano mzuri, kuna Noah zinafanya (sijui kama bado zipo) route ya kinyerezi - mbezi Luis kupitia malamba mawili, huwa zinabeba abiria takribani 12, wawili mbele, 4 row inafuata, 4 row ya mwisho, wawili kwenye buti.
 
Walikaa kama mapera?

Huruma yake iilipitiliza kiwango, hii yote ni kwaajili ya kuwasaidia wawahi shule na kuepukana na manyanyaso ya makondakta au ambao hawana nauli kabisa.

Apewe tu onyo na angalizo maana sidhani kama aliwalipisha.

Akili za bavicha mnazijua wenyewe tu. Unadhani ingetokea ajali na watoto kufariki nani angebebeshwa lawama? Tena nyie humu na pale ufipa mngepovuka vibaya sana
 
Hiyo gari nadhani ni school bus...
 
Wanafunzi hao ni wa darasa la pili kutoka shule ya Diamond, Olimpio, Kisutu Maktaba na Bunge gari hiyo imekamatiwa eneo la round about Gerezani wakielekea Vijibweni Kigamboni.

Halafu mbona wa shule tofauti? walikuwa wanaenda wapi na kwa shughuli ili, study tour? Mbona ni kama representatives wa darasa la pili wa shule hizo? Yawezekana kuna zaidi ya kinachoonekana hapo - tip of iceberg.
 
Nope..huyu ana tenda ya kubeba wanafunzi yani km school bus..
Wanajitetea eti wana noah mbili moja iliharibika /sijui kukamatwa so wakalazimika kuwabeba wanafunzi wao wotebkwa gari moja...unfair
si angefanya safari mbili.
 
Walikaa kama mapera?

Huruma yake iilipitiliza kiwango, hii yote ni kwaajili ya kuwasaidia wawahi shule na kuepukana na manyanyaso ya makondakta au ambao hawana nauli kabisa.

Apewe tu onyo na angalizo maana sidhani kama aliwalipisha.
Umesoma habari yote au ndio kubwabwaja. ?
Vijibweni wanaenda kufanya nini!
 
Walikaa kama mapera?

Huruma yake iilipitiliza kiwango, hii yote ni kwaajili ya kuwasaidia wawahi shule na kuepukana na manyanyaso ya makondakta au ambao hawana nauli kabisa.

Apewe tu onyo na angalizo maana sidhani kama aliwalipisha.

Siyo sababu yake hiyo.

Kuna shule nyingi za DSM huwa wanaenda Kigamboni kuwapeleka watoto kutalili katika Daraja la Nyerere. Na hao walikuwa na nia hiyo lakini utakuta Walimu wamekusanya pesa ya kutosha Coaster hata mbili kwa safari hiyo sasa kwa urafi na hali ya maisha kwa ngumu wakaona wakodishe Noah kwa idadi hiyo ya watu.
 
Mbona kuna Sare mbili hapo mkuu?
 
Nchi yetu tuna tatizo la kugeuza kika kitu siasa, kiukweli Noah hazuna sifa ya kubeba abiria kama basi zinatakiwa zifanye kazi kama taxi.

Vv
 
Back
Top Bottom