Hatari! Video mpya ya Diamond- My Number One

Tuombe uhai tu, utakuja kuamini maneno yangu

Sijui anabisha nini, anashindwa kuelewa ukipandishwa na ntu utashushwa na ntu.. nasikia wako kwenye project ya kuifanyia hii ngoma remix na Davido.

Ni ajabu mtu kujiita star huku ukitarajia mgongo wa star mwingine ukuinue..
 
Nimeitizama video leo, ni kali sana, namuona mbali sana huyu dogo mwaka kesho 2014. Aendelee kukaza tu.

PIA ASIACHE SHOW OFF MAANA ZINASAIDIA SANA KWENYE MUZIKI
 
Sijui anabisha nini, anashindwa kuelewa ukipandishwa na ntu utashushwa na ntu.. nasikia wako kwenye project ya kuifanyia hii ngoma remix na Davido.

Ni ajabu mtu kujiita star huku ukitarajia mgongo wa star mwingine ukuinue..
Ni davido gani atakubali kufanya remix ya wimbo mbovu kama huo, labda davido wa buza. Domo's managers are total failure.
 
maxresdefault.jpg

mkuu nimekuta hii picha instagram au imeeditiwa?
 
Mkuu hio ni photoshop na aliyefanya hii photoshop naona anajifunza. Hebu angalia kwenye miwani ya domo, kuna mwanga wa taa umeakisiwa ikiwa na maana kuna taa mbele lakini ona kwenye miwani ya davido hiyo kitu hamna.
Siku diamond akifanya wimbo na davido nitauza simu yangu na sitoingia jf tena. Mashabiki wa domo waache kumpa sifa zisizostahili.
 
dah mungu atupe uhai kila kitu kitajulikana
 
Nimetoka kuitazama bonge Moja ya video, akijitahidi atafika mbali asee nipo hapa watu Facebook wanasema eti anataka kufanya kazi na davido, yule jamaa Nigeria wako mbali sana atampata kweli ngoja tuone
 
Mkuu hio ni photoshop na aliyefanya hii photoshop naona anajifunza. Hebu angalia kwenye miwani ya domo, kuna mwanga wa taa umeakisiwa ikiwa na maana kuna taa mbele lakini ona kwenye miwani ya davido hiyo kitu hamna.
Siku diamond akifanya wimbo na davido nitauza simu yangu na sitoingia jf tena. Mashabiki wa domo waache kumpa sifa zisizostahili.
Diamond hajawahi kufanya colabo na davido
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom