longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,205
- 4,065
Nafkiri mwakani 2015 kijana atafika mbali sana ...huwenda akaonekana kwenye majukwaa ya kampeni...Sasa sijui Lowasa Ataipeperusha bendera ya CCM ama Mzee Membe yote kwa yote Majibu anayo JK tuombe uzima.