Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Hiyo ndio shida ya wa tz
Una umri gani weye? Tumekula nyama miaka kibao na hatujapata hata mafua ya ndege weye kwa kukosa uwezo wa kupata nyama unaleta riwaya humu?? Acha mtu akule ile kitu loho inatamani. Nitazila hadi kaburini. Wewe enendelea kula majani ka ng'ombe tuache tule nyam ya ng'ombe bora iwe imechinjwaa.
 
Niko Fyatanga hapa inavyonukia ukweli siwezi acha!Miaka ya nyuma nilifanikiwa kuacha kwa muda ila sasa...tumbo niachie...

Halafuuu kingine nimegundua haya magonjwa yanayosemekana kusababishwa na nyama yanaendena na location,hivi ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye fomu ya hospitali wanajaza eneo ulilotoka....?!ukitokea masaki,mbezi,sinza ...nk...doctor utasikia ''acha nyama wewe utakufa!..manzese,mbagala, nk....utasikia....kula nyama wewe utakufaa!!mwili wako una upungufu wa protini.......
Anyway hata hivyo hii ni mbinu nzuri ya kuwajibu watoto utakapoanza kuwalisha majani kama mbuzi vyuma vikikaza....
Kuna kaukweli fulani
 
Bado hujatumia na ile ID yako nyingine kuja kujiunga mkono... Hii ni trick sana. 😀😀😀 Unaanzisha uzi kwa ID moja halafu zile nyingine zinakuja kuunga mkono uzi.

Mkuu upo vizur...kiukwel nyama ni pasua kichwa sana....inachukua mpak siku nne nyama kusagika tumboni..na hyo ni hatar sana, kupata vitambi, unene kupita kias, choo ngumu yenye mapingili na magonjwa ya kansa....nenda ocean road hospital nyama inaplay 70% ya victim wa kansa....Tatizo nyama ni tamu na ndio msosi wa stareh kwa nchi zet....Mungu tuepushe na hli balaa
 
Kwa upande wa kiroho nakubaliana na Wewe kiasi. Ni hatari sana kula nyama ya mnyama mwenye miguu minne.Nyama nzuri kiroho ni nyama itokanayo na mnyama mwenye miguu miwili
 
Usipokula nyama hufi????? Je life span ya msiokula nyama ni miaka mingapi?
Yakufaidi nini unapokufa na maini mazima? Kongosho zima?

Huoni usipotumia vitu mbalimvali ini linalemaa? Halina kazi yani sawa na demu àfe na bikra ni upuuzi...
Mwishoe utasema tusinywe na pombe...
Ndiko anakoelekea huyo...tusinywe pombe.. sijui tutaishi vp ...
 
Tatizo ulaji mbovu yani unakuta kajamaa sababu tu kanauwezo basi kakipita sokoni ova kalinunue sokozima vingine kweli sumu! Hebu tuleni vya asili
 
Una umri gani weye? Tumekula nyama miaka kibao na hatujapata hata mafua ya ndege weye kwa kukosa uwezo wa kupata nyama unaleta riwaya humu?? Acha mtu akule ile kitu loho inatamani. Nitazila hadi kaburini. Wewe enendelea kula majani ka ng'ombe tuache tule nyam ya ng'ombe bora iwe imechinjwaa.
Hahaha
 
Kuna jamaa ameanzisha uzi humu akiomba ushauri wa kuwa Vegetarian.
Kwa vile uzi huu unagusa kila mtu nimeona niandike hapa ili kila mtu afaidike na historia yangu ya kula nyama.

Mwaka 1993 ndo ulikuwa mwaka wangu wa kufanya maamuzi ya kuacha kutumia nyama yaani nyama zote za kuchinja kuku na wanyama wote. Sababu za kuacha nyama nimezigawanyisha katika makundi mawili.

1. Kiroho (spiritually) na 2. Kimwili (biologically?

Nitaanza na sababu za kiroho
Mungu ndo ametuumba sisi binadamu, chakula ambazo alikusudia mwanzo kabisa ni matunda tu ndo iwe chakula chake. Baada ya uovu, akaruhusu na mboga mboga.

Alikuja kuruhusu nyama baada ya gharika la Nuhu, lengo lake Mungu kuruhusu nyama ni hizi zifuatazo.

1. Kupunguza life span ya wanadamu maana matokeo ya ulaji wake ni magonjwa, na matokeo yake umri wa kuishi ukapungua kutoka mamia ya miaka hadi miaka mia hapa mwanzoni.

2. Aliwaruhusu kula nyama ili kukidhi tu haja yao ya tamaa, maana waliisha anza kutumia nyama kabla hawajaruhusiwa.

Ndio maana pia sehemu zote watu makini wa Mungu kama Daniel hawakutumia nyama.
Mungu alivyowatoa wana wa Israel alikusudia kutowapa nyama badala yake aliwapa Mana. Lakini walimlazimisha akawapa ndege kwale. Tukio lile lilimsononesha Mungu la kulazimisha kupewa nyama, ama la warudishwe Misri walipotoka. Biblia nzima ruhusa ya kula nyama ilitolewa kama tukia la sadaka, maana kula nyama halikuwafurahisha hata walaji kuchinja mnyama asiye na hatia kwa ajili tu ya dhambi zako.

Sababu za kimwili.

Miili yetu ilivyotengenezwa haihitaji nyama. Kwa kuwa mwili hauna storage ya protini, kwa kuwa nyama zote zina protein ya grade A. Recommended Daily Allowance ya protein kwa siku inayohitajika kwa matumizi mwilini kwa mtu mzima ni 30grams per day, yaani sawa sawa na uzito wa sarafu tatu za shilingi 10.

Protein ni muhimu kwa watoto ambao wanakua kila siku, kwa mtu mzima umuhimu wa protein ni kwa ajili ya ukuaji wa nywele na kucha tu hakuna kingine. Hivyo protein kwa mtu mzima ni negligible au haihitajiki sana. Zaidi ya hapo ni koungeza uchafu mwilini.

Uchafu kwa maana ya waste zinazozalishwa wakati wa kuiondoa protin mwilini.
Chemical zinazozalishwa wakati wa mchakato ni Amino acid kisha inabadilishwa kwa kuchanganya na madini mengine kama calcium ili kufanikisha kupata Urea na inatoka nje kama mkojo.
Mtengenezaji wa chemicali hizo ni Ini.

Hivyo protini kwa wingi mwilini hufanya Ini lipate load kubwa ya kutengeneza chemical za kuneutralize madhara ya protein. Ndio maana siku hizi kuna ugonjwa wa homa ya Ini kwa sababu ya matumizi makubwa ya protein, na pia ugonjwa wa UTI umekuwa common sana kwa sababu kipimo kinaonyesha particles nyingi za protein ambazo ni dalili kuwa hata figo zinazidiwa sana na chemicals zinazosababishwa na Ini.

Kwenye Amino acid kuna substance, ya Nitrogen ambazo ni kichocheo kikubwa cha uzalishaji wa seli za mwili. Uwepo wa Nitrogen kwa wingi mwilini ambao husababishwa na Amino acid ambayo ni zao la protini, huongeza uwezekano wa kupata kansa kwa vile kansa ni kuzaliana kwa seli nyingi kupitiliza.

Kwa vile zama hizi consumption ya protini ni kubwa hivyo maradhi yanayohusiana na ulaji huu ni yafuatayo.

Homa ya Ini:
Hii husababishwa na Ini kuzidiwa, yaani ini lingekuwa linaongea lingesema, jamani sasa hivi siwezi kutengeneza dawa za kurekebisha taka zenu mnazoingiza mwilini. Ini likizidiwa, yaani lina homa, linashindwa kuzalisha chemicali ya Insulini hivyo mtu hupata ugonjwa wa kisukari.

Wakati huo huo na figo nazo zinateseka, kongosho nk. Pia kama ini bado ni ngangali basi cancer zinaanza kukuotea sehemu mbali mbali, kama mauvimbe mwilini au lipoma ma MD wanaita. Na magonjwa mengine kama arthritis husababishwa na utumiaji mkubwa wa protein. Nyama pia huongeza acid nyingi mwilini. Na kwa vile miili yetu inataka vyakula vya alkaline, ni vyakula vyote alivyoumba Mungu vya mimea vina alkaline.

Vimelea wengi hustawi kwenye mazingira ya acids hivyo too much blood acid ni too much diseases.
Damu ikiwa ni alkaline hakuna kimelea kinachoweza kuishi mwilini. Ulaji wa nyama ni ukatili tu unaosababishwa na uchu wa binadamu hakuna kingine. HUWEZI KUWA NA AFYA NJEMA KWA KULA NYAMA.

Hizo tunaita old school tie, yaani ujinga tuliokalilishwa shuleni kwamba nyama ni chakula bora.
UNAPOCHUKUA HATUA KUACHA NYAMA hakikisha unakula vyakula mchanganyiko vilivyo na balanced diet pamoja na matunda mengi sana pamoja na maji. Utaenjoy afya njema ya mwili na roho.

Wakati naacha nyama kipindi hicho mwaka 1993 nilikuwa nahofu kuwa afya yangu itazorota. Lakini ipo vizuri sana sana magonjwa yamenikimbia, maana sijaumwa tangu mwaka 1999 hadi leo 2018 ni miaka 19 na sina mpango wa kuumwa, nang'atwa na mbu kila siku na kunywa maji salama yasiyokuwa treated na chemicals na siumwi.

Sio Mungu ananilinda, ila Mungu amenipa mwanga wa kuacha kutumia vitu visivyo na manufaa kwa afya ya binadamu sasa na enjoy life, labda kitu ambachosii enjoy ni kutokuwa na pesa na kutosha kula starehe za dunia.

Sasa MD's njooni mharibu uzi huu kwa kuleta mbwebwe zenu mkijifanya mna akili sana kuliko wote, mnashindwa kung'amua between right and wrong kutoka huko medical school.

Mimi sio MD hata biology sijasoma, nimesoma PCM tu ya O- Level, najua matkuja kutoa mapovu tu hapa, mnashindwa kuwaelekeza wagonjwa matatizo yanayowakabili, ninyi mnawashindilia madawa, wanakunywa wanaharibu organ muhimu mwilini, wanakufa. Au kwa vile jamii ni wajinga, na nyie mtasema tulikuwa tunaokoa maisha yake.

Wewe jamaa utakuwa Freemason
Kasome Mwanzo 1:29-30

29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.

Mbona mnapenda kumsingizia Mungu? Ninyi mapepo kabisa.
 
Kwa upande wa kiroho nakubaliana na Wewe kiasi. Ni hatari sana kula nyama ya mnyama mwenye miguu minne.Nyama nzuri kiroho ni nyama itokanayo na mnyama mwenye miguu miwili
Mkuu LIKUD.. binadamu ana miguu miwili...nakumbusha ujue...
 
sijaumwa tangu mwaka 1999 hadi leo 2018 ni miaka 19 na sina mpango wa kuumwa, nang'atwa na mbu kila siku na kunywa maji salama yasiyokuwa treated na chemicals na siumwi. ( aiseee vp na ugali nao autumii)
 
Kwa upande wa kiroho nakubaliana na Wewe kiasi. Ni hatari sana kula nyama ya mnyama mwenye miguu minne.Nyama nzuri kiroho ni nyama itokanayo na mnyama mwenye miguu miwili
Tutajie wanyama wenye miguu miwili ?
 
NOTE THIS
IMG_20170422_120216.jpeg
 
Huna
Kuna jamaa ameanzisha uzi humu akiomba ushauri wa kuwa Vegetarian.
Kwa vile uzi huu unagusa kila mtu nimeona niandike hapa ili kila mtu afaidike na historia yangu ya kula nyama.

Mwaka 1993 ndo ulikuwa mwaka wangu wa kufanya maamuzi ya kuacha kutumia nyama yaani nyama zote za kuchinja kuku na wanyama wote. Sababu za kuacha nyama nimezigawanyisha katika makundi mawili.

1. Kiroho (spiritually) na 2. Kimwili (biologically?

Nitaanza na sababu za kiroho
Mungu ndo ametuumba sisi binadamu, chakula ambazo alikusudia mwanzo kabisa ni matunda tu ndo iwe chakula chake. Baada ya uovu, akaruhusu na mboga mboga.

Alikuja kuruhusu nyama baada ya gharika la Nuhu, lengo lake Mungu kuruhusu nyama ni hizi zifuatazo.

1. Kupunguza life span ya wanadamu maana matokeo ya ulaji wake ni magonjwa, na matokeo yake umri wa kuishi ukapungua kutoka mamia ya miaka hadi miaka mia hapa mwanzoni.

2. Aliwaruhusu kula nyama ili kukidhi tu haja yao ya tamaa, maana waliisha anza kutumia nyama kabla hawajaruhusiwa.

Ndio maana pia sehemu zote watu makini wa Mungu kama Daniel hawakutumia nyama.
Mungu alivyowatoa wana wa Israel alikusudia kutowapa nyama badala yake aliwapa Mana. Lakini walimlazimisha akawapa ndege kwale. Tukio lile lilimsononesha Mungu la kulazimisha kupewa nyama, ama la warudishwe Misri walipotoka. Biblia nzima ruhusa ya kula nyama ilitolewa kama tukia la sadaka, maana kula nyama halikuwafurahisha hata walaji kuchinja mnyama asiye na hatia kwa ajili tu ya dhambi zako.

Sababu za kimwili.

Miili yetu ilivyotengenezwa haihitaji nyama. Kwa kuwa mwili hauna storage ya protini, kwa kuwa nyama zote zina protein ya grade A. Recommended Daily Allowance ya protein kwa siku inayohitajika kwa matumizi mwilini kwa mtu mzima ni 30grams per day, yaani sawa sawa na uzito wa sarafu tatu za shilingi 10.

Protein ni muhimu kwa watoto ambao wanakua kila siku, kwa mtu mzima umuhimu wa protein ni kwa ajili ya ukuaji wa nywele na kucha tu hakuna kingine. Hivyo protein kwa mtu mzima ni negligible au haihitajiki sana. Zaidi ya hapo ni koungeza uchafu mwilini.

Uchafu kwa maana ya waste zinazozalishwa wakati wa kuiondoa protin mwilini.
Chemical zinazozalishwa wakati wa mchakato ni Amino acid kisha inabadilishwa kwa kuchanganya na madini mengine kama calcium ili kufanikisha kupata Urea na inatoka nje kama mkojo.
Mtengenezaji wa chemicali hizo ni Ini.

Hivyo protini kwa wingi mwilini hufanya Ini lipate load kubwa ya kutengeneza chemical za kuneutralize madhara ya protein. Ndio maana siku hizi kuna ugonjwa wa homa ya Ini kwa sababu ya matumizi makubwa ya protein, na pia ugonjwa wa UTI umekuwa common sana kwa sababu kipimo kinaonyesha particles nyingi za protein ambazo ni dalili kuwa hata figo zinazidiwa sana na chemicals zinazosababishwa na Ini.

Kwenye Amino acid kuna substance, ya Nitrogen ambazo ni kichocheo kikubwa cha uzalishaji wa seli za mwili. Uwepo wa Nitrogen kwa wingi mwilini ambao husababishwa na Amino acid ambayo ni zao la protini, huongeza uwezekano wa kupata kansa kwa vile kansa ni kuzaliana kwa seli nyingi kupitiliza.

Kwa vile zama hizi consumption ya protini ni kubwa hivyo maradhi yanayohusiana na ulaji huu ni yafuatayo.

Homa ya Ini:
Hii husababishwa na Ini kuzidiwa, yaani ini lingekuwa linaongea lingesema, jamani sasa hivi siwezi kutengeneza dawa za kurekebisha taka zenu mnazoingiza mwilini. Ini likizidiwa, yaani lina homa, linashindwa kuzalisha chemicali ya Insulini hivyo mtu hupata ugonjwa wa kisukari.

Wakati huo huo na figo nazo zinateseka, kongosho nk. Pia kama ini bado ni ngangali basi cancer zinaanza kukuotea sehemu mbali mbali, kama mauvimbe mwilini au lipoma ma MD wanaita. Na magonjwa mengine kama arthritis husababishwa na utumiaji mkubwa wa protein. Nyama pia huongeza acid nyingi mwilini. Na kwa vile miili yetu inataka vyakula vya alkaline, ni vyakula vyote alivyoumba Mungu vya mimea vina alkaline.

Vimelea wengi hustawi kwenye mazingira ya acids hivyo too much blood acid ni too much diseases.
Damu ikiwa ni alkaline hakuna kimelea kinachoweza kuishi mwilini. Ulaji wa nyama ni ukatili tu unaosababishwa na uchu wa binadamu hakuna kingine. HUWEZI KUWA NA AFYA NJEMA KWA KULA NYAMA.

Hizo tunaita old school tie, yaani ujinga tuliokalilishwa shuleni kwamba nyama ni chakula bora.
UNAPOCHUKUA HATUA KUACHA NYAMA hakikisha unakula vyakula mchanganyiko vilivyo na balanced diet pamoja na matunda mengi sana pamoja na maji. Utaenjoy afya njema ya mwili na roho.

Wakati naacha nyama kipindi hicho mwaka 1993 nilikuwa nahofu kuwa afya yangu itazorota. Lakini ipo vizuri sana sana magonjwa yamenikimbia, maana sijaumwa tangu mwaka 1999 hadi leo 2018 ni miaka 19 na sina mpango wa kuumwa, nang'atwa na mbu kila siku na kunywa maji salama yasiyokuwa treated na chemicals na siumwi.

Sio Mungu ananilinda, ila Mungu amenipa mwanga wa kuacha kutumia vitu visivyo na manufaa kwa afya ya binadamu sasa na enjoy life, labda kitu ambachosii enjoy ni kutokuwa na pesa na kutosha kula starehe za dunia.

Sasa MD's njooni mharibu uzi huu kwa kuleta mbwebwe zenu mkijifanya mna akili sana kuliko wote, mnashindwa kung'amua between right and wrong kutoka huko medical school.

Mimi sio MD hata biology sijasoma, nimesoma PCM tu ya O- Level, najua matkuja kutoa mapovu tu hapa, mnashindwa kuwaelekeza wagonjwa matatizo yanayowakabili, ninyi mnawashindilia madawa, wanakunywa wanaharibu organ muhimu mwilini, wanakufa. Au kwa vile jamii ni wajinga, na nyie mtasema tulikuwa tunaokoa maisha yake.
Hela ya nyama were. Nyama tamu sana.
 
Sababu za Mwili ni uongo uliopitiliza.

Mwili unajengwa na vyakula vya protein hizo chembe chembe hai zinazopambana na Magonjwa kazi ya protein.
Kuna vyakula vya muhimu kama protein na mafuta inamaan kuwa hivi vyakula mwili hauna uwezo wa kujitengenezea wenyewe ni lazima Ule Chakula utapata. Na Kuna vyakula siyo vya muhimu kama wanga kwa sababu mwili unao uwezo wa kujitengenezea wanga pasipo kula Chakula cha wanga.

Nyama ni Chakula changu kikubwa sana kila wiki lazima kula
 
Back
Top Bottom