Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Una umri gani weye? Tumekula nyama miaka kibao na hatujapata hata mafua ya ndege weye kwa kukosa uwezo wa kupata nyama unaleta riwaya humu??
Ndugu zangu wa umasaini sijui wataelewa hili somo la nyama
 
Eat well,sex a lot,work hard,shit whatever,exercise marvelous at the end . U WILL DIE ANYWAY
 
Kuna ukweli hapa
Miezi mitatu imepita nilikuta hii mada mahali na mifano ya watu walioishi sana na hawakuwa wakitumia nyama
 
Sasa sis wala samak tuache..aaah siwez ache aisee...
 
Ndodi yule tapeli sana yule jamaa, alianza kwa kuwaponda watu wenye vitambi kwamba ni wagonjwa, alipopata hela na yeye likitambi likafumuka akapotea hadi kwenye tv
Hahahahahaa na hayupo peke yake. Wapo na wengine wa sanitarium kibao wana vitambi sana tu cha kwangu kidogo
 
Unanikumbusha siku moja nikiwa kanisani South Africa, kuna mmarekani alikuja kutoa ushuhuda kuwa baba yake alikuwa anatimiza miaka 97 na amekuwa anatumia vyakula vyote ambavyo tunaaminishwa kuwa ni sumu mwilini
 
Hivi kwani Insulini inazalishwa na ini ama ni kongosho .......😳😳
Mkuu acha ujinga wa kukalili, mifumo hii inategemeana, insulin inatengenezwa na kongosho, lakini kwa signal zinazoroka kwenye ini, Ini ndiye anayetoa signal kwa kongosho ili atengeneze Insulin, kemikali zote mwilini zinakuwa neutralised na Ini. Mmekalilishwa ujinga wa shuleni , lakini hamuelewi natural instinct za mwili. Ndo maana mnaua watu kwa aina ya matibabu na elimu zetu.
Ini naweza kulifananisha na Chemical Laboratory.
 
Yaani ni kama kwenda Sodoma na kuwaambia Gomora waache kufanya yao
 
Biblia hiyo hiyo imeweka kiwango cha wanadamu miaka kuishi endapo kama utaishi kwa kumpendeza na kumuogopa Mungu
na inaongeza kusema endapo kama Miili yetu itakuwa na nguvu miaka inaongezeka tena
sasa Mkuu unataka uishi miaka kuzidi hata ambayo Biblia imeongea? 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Kuna Miaka 70 Kuna Miaka 80 Na Kuna Miaka 120 sasa sijui wewe unatafuta miaka mingapi

KAMA UNAJUA WAMASAI WANAKULA NYAMA NA UNAWAFAHAMU WAZEE WALIOKO KULE GONGA LIKE HAPA
Wazee wa kimasai kuna ma mizizi wanagonga sana baada ya kula nyama na hata wana utaalamu wa kuandaa nyama.
Kama kuna wabobezi wa lishe watusaidie maana wenyewe kwa wenyewe tunachanganyana sana. nilikuwa nimeanza kupata kakitambi kuna mjamaa akaniambia punguza haka katambi maana na kenyewe ni ugonjwa kwa mujibu wa wizara ya afya. nikauliza napunguzaje? nikaambiwa punguza wanga hamia kwenye protein(nyama, mayai, matunda...........) kumbe nyama nayo ndo hivyo haisagiki haraka- Tufuate lipi sasa?
 
TATIZO LA UBISHI WA WABONGO WANAPOAMBIWA MADHARA AU FAIDA YA KITU FLANI HAWATAKI HATA KUFANYA UTAFITI KWANZA WA FAIDA NA HASARA YA KITU WANACHOELEZWA ZAIDI YA KUJIKITA KATIKA UTETEZI KWA HOJA ZAO FEKI, INGAWA MTOA MADA YUKO SAHIHI ILA ANGESISITIZIA "NYAMA NYEKUNDU".
KWELI DUNIANI KUNA WATU, VIATU, VIJITU, MIJITU, MAJITU NA MAWATU.
HAPA JAMII FORUM KUNA MAWATU SABABU YA KUWA NA UBISHI WA KIWANGO CHA JUU KWA KILA KITU. NYAMA NYEKUNDU KILA SIKU INAKATAZWA NA MADAKTARI SABABU YA KULETA MADHARA CHUNGUNZIMA MWILINI LAKINI MTU ANAJITETEA ETI:
1. TUMEANZA KULA SIKU NYINGI MBONA HATUUMWI KAMA VILE KILA UGONJWA HUPATIKANA PAPO KWA HAPO NAKATI HAKUNA MAGONJWA HATARI SANA NA MAGUMU KUTIBIKA KIRAHISI YATOKANAYO NA UTENGENEZWAJI WA ATHARI MIILINI POLE POLE SIKU HADI SIKU.
MFANO:
KISUKARI, KANSA, TB, BP.
2. UNAWEZA KUACHA KULA NYAMA NYEKUNDU LAKINI KUFA UTAKUFA TU, UTAKWEPA KULA NYAMA LAKINI UTAKUFA KWA KULA PAPUCHI(UKIMWI), KUVUTA SIGARA(KANSA YA MAPAFU), KUNYWA POMBE KWA SANA(KISUKARI) AU HATA KUPATA AJALI KWA KUGONGWA NA VYOMBO VYA MOTO & KUZAMA MAJINI KWA MELI, BOTI AU MITUMBWI NA KUANGUKA HATA KWA NDEGE.
JE KWANINI HATULALI NA MILANGO WAZI MAJUMBANI IKIWA TWATEGEMEA ULINZI WAKE MUNGU KWA 100%?
KUCHUKUA TAADHARI SI KWAMBA NDIYO SABABU YA KITU KUTOKEA JAPO INAWEZA KUWA SABABU YA KUPUNGUZA KITU AU KUSABABISHA KISITOKEE KABISA NA NDIYOMAANA HATA MUNGU ALITUPATIA AKILI YA KUJUA MEMA NA MABAYA ILI TUWEZE KUWA NA TAADHARI KABLA YA TUKIO.
MFANO:
MAGARI HUWEKEWA MIKANDA YA KUFUNGA UNAPOSAFIRI KUZUIA ATHARI ZA KUDHURIKA SANA INGAWA WALIOWEKA HAWAOMBEI AJALI ITOOEE NA HAWAWEZI KUIZUIA LAKINI HULETA FAIDA MARADUFU KULIKO KUTOFUNGA MIKANDA WAKATI WA KUSAFIRI.
3. KUFA NI LAZIMA LAKINI MUNGU HAJATUELEZA TUKALALE KWENYE BARABARA ZA MAGARI TUGONGWE TUFE, TUKAINGIE KWENYE VINA VYA MAJI MAREFU TUFE AU TUJINYONGE ILI TUFE BALI TUFE KATIKA MPANGO WAKE MUNGU.
SO KUFA ISIWE SABABU YA MTU KUTOCHUKUA TAADHARI LA SIVYO WATU TUSINGETHUBUTU KABISA KWENDA HOSPITALINI KUTIBIWA NA MADAKTARI TUKIUMWA SABABU KUFA NI LAZIMA.
4. KWANINI HAMTAJI AINA YA MITISHAMBA NA MIZIZI AMBAYO HAO WAMASAI & WAADZABE HUTUMIA KUJIKINGA NAYO NA KUONDOA SUMU MIILINI ZAIDI YA KUWATAJA TU KUWA WANAKULA NYAMA MARA NYINGI TU BILA YA KUUMWA AU KUFA?
HIVI KUTATAJWA MAKABILA YALIYO VIZURI KTK MATIBABU NA KUJIKINGA MWILINI VIZURI UKAACHA HAO WAMASAI TOFAUTI NA HAWA WA MJINI MATAPELI?
TUWE TUNAKUBALI KUELIMIKA TUNAPOELIMISHWA.
5. PROTINI HUHITAJIKA KTK MIILI YETU KWA FAIDA MBALI MBALI KAMA VILE KUIMARISHA HOMONI ZETU BUNADAMU LAINI SI LAZIMA HIZO PROTINI ZITOKANE NA NYAMA TU BALI ZINAWEZATOKANA NA SAMAKI, VYAKULA VYA MBEGU MBEGU KAMA VILE SOYA, KOROSHO, KARANGA NA MAHARAGE, MATUNDA(PARACHICHI) & NAZI, MAZIWA NA MBOGA MBOGA KAMA VILE SUKUMA WIKI NA MAJANI YA KUNDE.
6. NYAMA ZA ENZI ZA MABABU ZETU ZILIKUWA HAZICHOMWI SINDANO MARA KWA MARA KAMA HAWA NG'OMBE WA KISASA NA HATA HIVYO WAZEE WETU WALIKUWA WANAFANYA KAZI NGUMU SANA KWA KUTEMBEA UMBALI MREFU, KULIMA MASHAMBA NA KUPALILIA KWA MIKONO TOFAUTI NA KIZAZI CHETU CHA LEO KINACHOTAKA KUFANYA KAZI KIDOGO TU NA KUKAA SIKU NZIMA BIPA YA KUTOKWA HATA NA JASHO.
IKUMBUKWE KUWA SUMU KTK MIILI YETU HUTOKA KWA HAJA KUBWA, MIKOJO NA JASHO, SO MIMENG'ENYO YA BABU ZETU ILIKUWA MIKUBWA SANA KWA SABABU YA KUJISHUGHULISHA KWA KAZI NGUMU AMBAPO LEO HII TWAPASWA KUFANYA MAZOEZI YA KUTOSHA ILI KUONDOA SUMU KTK MIILI YETU KWA WALE TUNAOISHI MIJINI.
7. UKISHINDWA KULA KABISA NYAMA BASI JITAHIDI ULE HATA MARA 1 TU KWA MWEZI NA HAKIKISHA UMEIBANIKA MOTONI KWA WAVU IMEKAUKA VIZURI NA IPIKE ILAINIKE SANA NDIPO UTAWEZA KUPUNGUZA AU KUZUIA KABISA ATHARI ZA AFYA MWILINI.
 
Ingia kwenye tovuti ya shirika la afya duniani, mpaka leo hakuna tafiti zilizothibitisha ubaya wa nyama nyekundu katika tafiti zaidi ya mianane zilizofanyika ila tafiti chache zimeonesha ubaya wa processed meat katika kuleta kansa
 
Kabichi
Kabeji
kabichi/kabeji nayo kuna mtu kaniambia ni hatari sana kwa afya. Akasema ni mojawapo ya vitu wadudu wanapenda sana,sasa ili isishambuliwe na wadudu inapigwa dawa za kutosha na watu ambao hawana ujuzi wa kutumia viwatilifu. Na kwa asili yake jinsi inavyokuwa kwa kujikunja inajikusanya na kujifunga na zile dawa zinabaki mle ndani. Kwa hiyo ukila kabeji a.k.a kabichi una kula full chemicals ,na jinsi nilivyo mtu akielezea vitu vya kitaalam namwamini sana nimeacha kula hiyo kitu
 
Nyama ni tamu Sana, hasa ya kuchoma na ndizi mzuzu..
 
Back
Top Bottom