Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,548
Kwenye nyama hapana kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi? Unaacha kula nyama, unakuja kufa kwa kupaliwa kabichi😀😀😀😀😀
Sawa.Sijambo
KabichiKwenye nyama hapana kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi? Unaacha kula nyama, unakuja kufa kwa kupaliwa kabichi![]()


Usintaniee....tam vile??mm hicho ht sijawah gusa ila nyama nafukiaaa
Mkuu upo vizur...kiukwel nyama ni pasua kichwa sana....inachukua mpak siku nne nyama kusagika tumboni..na hyo ni hatar sana, kupata vitambi, unene kupita kias, choo ngumu yenye mapingili na magonjwa ya kansa....nenda ocean road hospital nyama inaplay 70% ya victim wa kansa....Tatizo nyama ni tamu na ndio msosi wa stareh kwa nchi zet....Mungu tuepushe na hli balaa



Eti choo yenye pingilipingili😥😥😥😣😣😣😣😐😑Usintaniee....tam vile??
Ebu fafanua.Mkuu upo vizur...kiukwel nyama ni pasua kichwa sana....inachukua mpak siku nne nyama kusagika tumboni..na hyo ni hatar sana, kupata vitambi, unene kupita kias, choo ngumu yenye mapingili na magonjwa ya kansa....nenda ocean road hospital nyama inaplay 70% ya victim wa kansa....Tatizo nyama ni tamu na ndio msosi wa stareh kwa nchi zet....Mungu tuepushe na hli balaa
😥😥😥😣😣😣😣😐😑Usintaniee....tam vile??
Wewe kwa akili yako unadhani protein ni minofu na mifupa???Acha nyama ila kunywa supu
🙁🙁🙁🙁😥😥😥😣😣😣😣😐😑
Shida iko hapa, u mfugaji au unatumia ule mfugo wako wa hapo bondeni kupata hizo nyama..Ukiacha kula nyama uache na wanawake maana utakufa na ukimwi,pia ajali nyingi ,kufa hakuepukiki
Navyopenda samaki,kuku,nyama ya ng'ombe jamani mbona hivyo lakini
Manyama uzembe dalili za uzeeDagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?
Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....
Siku zote vitu vitamu vina madhara.



Vitu vitamu vina madhara, heri sinywi soda napiga zangu konyagi. Ila asali nayo inanichanganyaDagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?
Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....
Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Ntaweza kuacha "chair-fire" kweliii...![]()