Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Nimekula nyama tangu niingie duniani mpaka Leo miaka 50 kasoro sijapata magonjwa mjinga..nyama ni porojo..
Jenga hoja zako bila kuwa biased mkuu.Recommended Daily Allowance ya protein kwa siku inayohitajika kwa matumizi mwilini kwa mtu mzima ni 30grams per day, yaani sawa sawa na uzito wa sarafu tatu za shilingi 10
Kama papuchiDagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?
Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....
Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Ukifanikiwa unipe mbinuNtaweza kuacha "chair-fire" kweliii...![]()
Manyama uzembe dalili za uzee![]()
Kwenye nyama hapana kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi? Unaacha kula nyama, unakuja kufa kwa kupaliwa kabichi![]()

Acha nyama ila kunywa supu
Vice verse is true..!Na uzee ni matokeo ya nyamazembe
Vitu vitamu vina madhara, heri sinywi soda napiga zangu konyagi. Ila asali nayo inanichanganya
Vice verse is true..!
Kama papuchi
Mkuu samahani.Ndio maana siku hizi kuna ugonjwa wa homa ya Ini kwa sababu ya matumizi makubwa ya protein
Sio rahisi kama kuacha bia...Sio kirahis hivyo eti
Em tuendelee kula tuu...mbinu itapatikana wakati tunaendelea kujichana,.Ukifanikiwa unipe mbinu
mkuu napenda kukupa elimu nyepesi ama nikurudishe shule ya msingi ukasome vizuri wanga mwilii unafanya nini, Protein hainenepeshi ila wanga maana wanga ukifika mwilini unabadilishwa kuwa mafuta ambayo huifadhiwa mwilini na kuja kutumika baadae pindi mwili unapohitaji na ndo maana wengi walao vyakula vya sukari na wanga kupindukia ndo huongoza kwa unene na uzito ulopindukiaMkuu upo vizur...kiukwel nyama ni pasua kichwa sana....inachukua mpak siku nne nyama kusagika tumboni..na hyo ni hatar sana, kupata vitambi, unene kupita kias, choo ngumu yenye mapingili na magonjwa ya kansa....nenda ocean road hospital nyama inaplay 70% ya victim wa kansa....Tatizo nyama ni tamu na ndio msosi wa stareh kwa nchi zet....Mungu tuepushe na hli balaa
Hahahahaha...ngoja nimuite mm,.ww hujamuita kwa nguvu Inna@Inna
Ameunga unga tuu maneno ili kutetea hoja yakeHuo ni mtazamo wako, nyama ingekua hatari kiasi hicho wahadzabe na wamasai wangeisha kitambo tu, by the way uchambuzi wako hauna tafiti za kitaalamu