Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Ningeamini kama ungezisema hizo tafiti watu tukarejea/tukazisoma. Haitoshi kutumia neno "tafiti" peke yake. Andika kulingana na utafiti uliofanyika ...... (nani alifanya na kuchapisha matokeo ya utafiti huo?) vinginevyo hujanishawishi
Wewe ni msomi ndo maana umwsema hivi. tafiti zipo ndo maana pia kuna Mavegeterians. Hata hivo hii sio rasmi kwa mujibu wa shirika la afya duniani. Wanalishe wanahimiza kula nyama kwa ajili ya afya.Hebu google viitabu kuhusu Natural remedies na pia Natural Remedies Encyclopedia na vitabu vingine vya namna hii. utaweza kuona namna baadhi ya madaktari walnavosema kuhusu ulaji wa nyama.
 
Back
Top Bottom