..Hatari>Mzuka wa kufumania umenipanda.....

..Hatari>Mzuka wa kufumania umenipanda.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Leo nina Mzuka wa Kufumania humu baada ya kuhitimu zoezi la kulenga shabaha.
.....nimetumia Risas kumi sijakosa hata moja.

Endeleen kumfata fata...
 
Leo nina Mzuka wa Kufumania humu baada ya kuhitimu zoezi la kulenga shabaha.
.....nimetumia Risas kumi sijakosa hata moja.

Endeleen kumfata fata...

Huo ni mkwara tu Zube!
Ni technic za watu waoga! Kuvundumka na mkwara mzito kiivo!
Si ungeuchuna wenzio walepo kiduchu?
Si wanakula kiasi cha suna tu.
 
Huna hata wa kumfumania. mumeo mwenye Bishanga ni cha wote.
 
Ukimfumania na ukaukta ni jamaa yako wa karibu,yule uliyemkabidhi akutunzie wakati upo prison...
Utachukua hatua gani mkuu?
 
Ukimfumania na ukaukta ni jamaa yako wa karibu,yule uliyemkabidhi akutunzie wakati upo prison...
Utachukua hatua gani mkuu?

Umewah ona fisi anapewa lindo la mifupa hapa duniani..chunga kauli yako bwana mdogo
 
Hata hunitishi naendelea kula utamu had kwa bed yako ukinizingua nakuondoa hamu zote... Unaki box tu
 
Ukimfumania na mwalimu wako wa shabaha,nayeye ana bastola itakuaje?
 
angalia usije ukajilipua mwenyewe na hako kabastola baada ya kukuta umesha nyang'ang'anywa kabisa.
Sijui utamlaumu nani?
We jiamini tu, mwanaume wa kweli anajiamini.
 
angalia usije ukajilipua mwenyewe na hako kabastola baada ya kukuta umesha nyang'ang'anywa kabisa.
Sijui utamlaumu nani?
We jiamini tu, mwanaume wa kweli anajiamini.

Haya kitaeleweka,hapo panapotakiwa kueleweka.
 
We jidai unahasira na hako kabastola kako wakati mwizi wako anamiliki AK47...utaweza huo mziki,risasi 10 kwa 30?

Hata uwe na nuclear,Mashambulizi huwa yana Tactic zake....kila ki2 tukio na timing zake.
 
Back
Top Bottom