Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Mi niko eneo la tukio acha uzushi.

Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.

Imetokea nyuma ya hospital ya meta mkoani Mbeya.
Mnatuzingua sasa,tumuamini nani?hapa ile kauli ya ZA KUAMBIWA................................ NDO INAHUSIKA
 
Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.
duh heri umetusaidia wengi maana mimi nilikuwa nilishaanza kutoa machozi
 
Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.

Asante kwa kutufungua macho,maana taarifa hii haijitoshelezi maana tunaambiwa tu kuwa mchawi katafuna mtoto lakini mtoto mwenyewe anaye tafunwa hatumuoni,hii story ina walakini.
 
Mwambie akupe hizo picha kama anazo uyu mzushi tu.
 
muwe mnasoma habari mzima. mtu kasema hospitali ya Meta, mkoani Mbeya, alafu bado kuna mtu anakurupuka, imetokea wapi hiyo? Mkoa gani? Nawewe unauliza iko maeneo gani ilhali mleta uzi keshasema Meta

hujaelewa nilichouliza.

kama umekereka na swali langu basi samahani
 
Mleta Uzi kama upo eneo la tukio niambie kweli upo maeneo gani me nakuja hapo manake naishi maeneo ya Jakalanda uongo wa namna hii sio mzuri kabisa

Nahisi una kipaji cha ubishi. Mnyakyu halisi wewe kama sikosei.
 
Wazaz wako wamepata hasara,bora wangefuga bata leo wangekula nyuma kuliko kukufuga wewe tahaira.

mzazi wake anahusika vipi? je mtoto mwenye utindio wa ubongo chanzo chake nini? usimkufuru Mungu kwa kuzaliwa ukiwa timamu.
 
Back
Top Bottom