Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Kuna ushahidi gani kuwa alikuwa anatafuna mtoto? Picha hazithibitishi hilo...
 
Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.

Hawa ndio wanaoishushia hadhi jf alafu anaulizwa analeta siasa apeleke kwa shigongo
 
Tumia akili kijana umeona picha ya gar ya police ikimchukua mchawi kumpeleka polisi sasa ukija utakuta nn?

Utakuta nn kwani hata mashuhuda hawawezi kutoa maelezo weee wa wapi? Sema tu umetumiwa ukapost hujui lolote kuhusu hizi picha majibu yako tu kama watu wa ccm
 
Nadhani Huyu Kafumaniwa na Mweshimiwa Flani ili kuliua Soo ya Kesi ya Ugoni , Ikabidi ajifanye Mchawi maana sheria zetu hazitambui Uchawi.
Webwana wacha masiala kasema amekutwa anatafuna mtoto kwahio nan ampe mtoto, halafu alie mfumania akaekimyatu
 
Utakuta nn kwani hata mashuhuda hawawezi kutoa maelezo weee wa wapi? Sema tu umetumiwa ukapost hujui lolote kuhusu hizi picha majibu yako tu kama watu wa ccm
Tayari mmeshaingia kwenye siasa du!
 
Hata km ni mchawi wameshindwa hata kumsitiri kwa khanga huyo mama? Maadili hayakuzingatiwa hapo
 
hivi mkuu hospitali ya mkoa iko maeneo gani hapo Mbeya

muwe mnasoma habari mzima. mtu kasema hospitali ya Meta, mkoani Mbeya, alafu bado kuna mtu anakurupuka, imetokea wapi hiyo? Mkoa gani? Nawewe unauliza iko maeneo gani ilhali mleta uzi keshasema Meta
 
Muwe mnasoma uzi mzima, pambaf. Mtu keshasema Meta alafu mtu unauliza tena

mkuu kama hutaki kujibu bora uache tu. Mi nimeulizia hospitali ya mkoa na nimeuliza humu kwa kusihi kuwa mleta mada ni mwenyeji wa Mbeya na mi Mbeya sio mwenyeji sana, sasa kosa nini mpaka uniite pambaf,, ok heri yako wewe mwenye akili kuliko wengine.
 
Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.
Mleta uzi japo siipendi lakini sheria mpya ya mitandao inamhusu!
 
Utakuta nn kwani hata mashuhuda hawawezi kutoa maelezo weee wa wapi? Sema tu umetumiwa ukapost hujui lolote kuhusu hizi picha majibu yako tu kama watu wa ccm

We unakichwa kigumu sana unataka habar Iwe kama movie.
 
Acha ufalaaa na akili zako kama hayo mavii hakukufai humu nenda kwa shigongoo haya sio majibu ya wana jf umepotea njia

Wazaz wako wamepata hasara,bora wangefuga bata leo wangekula nyuma kuliko kukufuga wewe tahaira.
 
Back
Top Bottom