Hatari:Itakuwaje?

Hatari:Itakuwaje?

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Habari wakuu itakuwaje ukibambwa kama huyu jamaa?
Kuna haja ya kumrudia aliye tuumba
 
Nilishasema, hata siku moja kiroba kikawekwa kwenye friji afu kikanywewa kikiwa cha baridi, matokeo yake ndo haya
 
Leo' juma pili, juzi ilikua ijumaa' jana ilikua jumamosi

.... na hii ni disemba, mwezi juzi ulikuwa octoba, mwezi jana ulikuwa novemba na mwezi ujao ni januari. Au siyo manoah?
 
Last edited by a moderator:
Leo' juma pili, juzi ilikua ijumaa' jana ilikua jumamosi

.... na hii ni disemba, mwezi juzi ulikuwa octoba, mwezi jana ulikuwa novemba na mwezi ujao ni januari. Au siyo manoah?
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu itakuwaje ukibambwa kama huyu jamaa?
Kuna haja ya kumrudia aliye tuumba
Unamzungumzia jamaa gani? Mie najua Filipo ndie kabambwa jana na mtoto wa kirangi huko ungaltd na almanusura atolewe majicho, ndie yeye unamzungumzia au
?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom