mpaka waunde jopo lakuchunguza !teheteheTBS, are they that quick in responding?
taarifa zimeshafika TBS na kwa kemia mkuu ili kushughulikia lkn ni bora tukawa n tahadhari mapema.
Afadhali umetutaarifu maana TBS watasema hazina matatizo na kila nchi ina standard zake!
mpaka waunde jopo lakuchunguza !tehetehe
Hi sisters and brothers, please watch out there is this deadly sanitary pad which is making ladies bleed to death,its name is DARIES"its unique in looks,its a new product in stores and it has killed 53 ladies in Johannesburg recently"it makes your vagina bleed heavily and u will think its a heavy flow then at night u bleed to death without knowing it from chemicals used in the pad, pls watch what u buy... This is URGENT
siwatish ila ni ukweli na zimeshaingia sokoni hapa kwetu na mwenye kutaka ukweli zaid ani pm.
nawasilisha
na madactari wa bongo hawatibu huo ugonjwa ni SA au INDIA WADADA RUDINI KWENYE MATAMBARA ZAMANI HIZI PADS HAZIKUWEPO KABISAAAAAAAAAMchunguzaji wamempa matching order sababu ya kufanya kazi kwa mazoea...kwahiyo ukitumia jiandae kulia.
Nadhani hii message inaweza ikawa hoax.
Hembu fuata hii link Hoax - 'Deadly Sanitary Pad' Responsible for 53 Deaths
Yaani ujumbe huu unapitia kweye mitandao ya kijamii tu! Hamna mamlaka ya nchi yeyote iliyotangaza hali hiyo na wala vyombo nya habari vya kuamninika.
Ni message iliyosambazwa kwa kupitia facebook.
Hi sisters and brothers, please watch out there is this deadly sanitary pad which is making ladies bleed to death,its name is DARIES"its unique in looks,its a new product in stores and it has killed 53 ladies in Johannesburg recently"it makes your vagina bleed heavily and u will think its a heavy flow then at night u bleed to death without knowing it from chemicals used in the pad, pls watch what u buy... This is URGENT
siwatish ila ni ukweli na zimeshaingia sokoni hapa kwetu na mwenye kutaka ukweli zaid ani pm.
nawasilisha
mkuu wewe unaweza kusema ivyo ilani kweli zipo na kuna ambazo ziko kwenye uchunguzi sasa hivi.
Sio mimi niliesema. Ni vyanzo vya habai. Yaani waanze uchunguzi bila kuwaambia watu waache kwanza kuzitumia? Hapa Tanzania kuna vifo vingapi vilivyosababishwa na hiyo kitu? Halafu information sensitive kama hii mtu anasema kama una maswali zaidi um-pm! Kama mwanzisha thread ana details za kutosha aziweke jamvini.
hivi si bora hata uambiwe tu ili uwe na tahadhari kuliko kukaa kimya? ndio pengine habari nyingine ni nyeti sana ulitaka nianike kila kitu hapa?