hatari hatari hatari........kwa akina mama/akina dada

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Hi sisters and brothers, please watch out there is this deadly sanitary pad which is making ladies bleed to death,its name is DARIES"its unique in looks,its a new product in stores and it has killed 53 ladies in Johannesburg recently"it makes your vagina bleed heavily and u will think its a heavy flow then at night u bleed to death without knowing it from chemicals used in the pad, pls watch what u buy... This is URGENT
siwatish ila ni ukweli na zimeshaingia sokoni hapa kwetu na mwenye kutaka ukweli zaid ani pm.
nawasilisha
 
mkuu taarifa hii ni muhimu sana nadhani ungeandika kwa lugha ya kwetu ingeweza kuwa vizur sana,otherwise ahsante kwa taarifa
 
shukran kwa tahadhari mkuu, nadhani ungetoa taarifa pia kwa vyombo husika wafuatilie na watupe ukweli wa hili.
 
shukran kwa tahadhari mkuu, nadhani ungetoa taarifa pia kwa vyombo husika wafuatilie na watupe ukweli wa hili.
taarifa zimeshafika TBS na kwa kemia mkuu ili kushughulikia lkn ni bora tukawa n tahadhari mapema.
 
Isn't bussiness competition marnuvourers?
Huenda ikawa kweli, wapi TBS?

i is not business competiton ila sijui labda wanatengeneza weapon of man destruction manake imeua kweli na wanakufa kwa dysfunctional bleeding manake wanakuwa attacked na bacterial infection ambayo baada ya masaa kadhaa kuzitumia say 12 damu nyigi iloganda inatoka ikiwa accompanied na maumivu makali kibya zaid package yake ni nzuri sana na ukiziona ni nzuri kwa sura.
 
Ahsante kwa taarifa mamy. Uzungu huu! Ngoja nirudi kwenye vitambaa na wanangu mwendo wa nepi tu.

Maamuzi mazuri Ennie manake leo ni hizo kesho wataleta zingine.......na ndio mana sa zingine macancer na mauvimbe ya vizazini hayaishi kwa kina dad/mama!
 
Last edited by a moderator:
TBS, are they that quick in responding?
Ndahani sijui but cha kufanya ni sisi kupana taarifa kisha kuzikwepa basi manake hadi usubiri waanze kutrace nania kaingiza ni leo na waweza kukuta hata package wakabadili. am confused but i will let you know ikoje.
 
Last edited by a moderator:
i is not business competiton ila sijui labda wanatengeneza weapon of man destruction manake imeua kweli na wanakufa kwa dysfunctional bleeding manake wanakuwa attacked na bacterial infection ambayo baada ya masaa kadhaa kuzitumia say 12 damu nyigi iloganda inatoka ikiwa accompanied na maumivu makali kibya zaid package yake ni nzuri sana na ukiziona ni nzuri kwa sura.

Duuuuh .....mie nimepatwa na woga mwenzio......mbona hatari hivyo jamani?
 
Ndahani sijui but cha kufanya ni sisi kupana taarifa kisha kuzikwepa basi manake hadi usubiri waanze kutrace nania kaingiza ni leo na waweza kukuta hata package wakabadili. am confused but i will let you know ikoje.

kama wameambiwa wakadharau is up to them to face the music.
 
Hapo penye red ndio mana mie naunga mkono hoja ya Ennie kurudi kwenye matumizi ya vitu vya asili......huu uzungu kweli wakati mwingine sio mpango gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
kama wameambiwa wakadharau is up to them to face the music.

ila jamani tunakufaaaaaaaaaaaaaaa hata haya makansa ya vizazi mengine yanatokana na haya haya. cha ajabu wiki ilopita tbs iliteketeza sanitary towels zisizokidhi viwango huko pugu. swali langu waliweza kweli kuhakikisha kwamba hazijaingia sokoni? na kwanini hawakusema aina ya pedi walizo teketeza?
 
Back
Top Bottom