Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

Mkuu huyo jamaa sio mtalii ila ni mfugaji wa huyo simba na kaanza kumlea huyo simba kuanzia ana siku 10 so hakutegemea kama huyo simba ata muattack na hapo alikua kaenda fungua geti watalii watoke

Yawezekana aliona anamharibia deal kuwatoa watalii ambao huenda yeye aliwapania
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Kama huyu simba alilelewa na huyo Mzee miaka yote hiyo mbona alianza yeye kumkimbia na ndipo simba nae akamkimbiza?
 
Wewe muongo kama angekua kamlea asingemkimbia bali ingetokea gafra huyo mzee kanywa viroba akafikiri simba sasa na vyura pale jangwani kumbe hatari
 
Kama huyu simba alilelewa na huyo Mzee miaka yote hiyo mbona alianza yeye kumkimbia na ndipo simba nae akamkimbiza?
mzee huyo kuna ishara aliiona mara moja kuwa kuna jambo siyo la kawaida kwa huyo simba
 
Wazungu bwana!,ndo mana wanakufa kizembe sana. Kuna siku nilikuwa nangali nat geo wild.kuna wazungu walienda kutalii nchi za kusini ni zimbabwe kamasikosei, ule mto ulikuwa na wanyama wakali mno wakiwemo mamba na viboko,na hao watalii ndicho walichoenda kuangalia.basi bwana, wakakaa kwenye maboya maboya flani sjui jina lake ila ukiyaangalia kwa muonekano utafikiri maboya .wakakaa bila uoga wowote, ghafla kiboko kagonga lile boya, wakaangukia kwenye maji.acha waanze kutafunwa mpaka nikatamani kuzima tv. Watoto wakabaki ng'ambo wanalia,. Hawa wanyama sio wakuwachezea kabisa
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Simba chui mostly hawa wanyama hawazoeleki chui ndo kabisaa hanogi.
 
Hii clip niliipata whatsapp bila maelezo na Hadi sasa kwa huu uzi sijajua ukweli ni upi, nitarudi baadae kidogo.
 
Kivyovyote vile mnyama hawezi kuwa na akili kama za binadamu, atakustahi leo ila iko siku atakushow.......

Nmekumbuka muvi ya life of PI
Hata binadamu ni mshenzi tu tena afadhali ya simba inajulikana wazi alikuwa ana njaa!

Angekuwa kashiba yote hayo yasingetokea
 
Katika vitu ambavyo hutanidanganya ni kumshika Simba au wanyama wakali, kumpa chakula, kumsogelea, yaani lazima niwe mita kadhaa toka alipofungiwa...
Binadamu tuna makusudi sana aise...
 
  • Thanks
Reactions: bkk
Back
Top Bottom