Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Ilitakiwa awe akitembea na neti ili mnyama umfugae akikugeuka unamuwahi unamtupia Neti apambane nayo ili ujiokoe
 
Ukifikiria kukutana nao tembea na net au nyavu za kuvulia samaki akitaka kukurukia unamuwahi unamtupia,kucha zao ndefu unasa.
Humjui simba wewe, utapata ujasiri gani wa kumrushia net ambayo unajua kabisa haiwezi kumjeruhi wala kumzuia kukudhuru?
 
Back
Top Bottom