Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,192
Reaction score
41,703
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa Kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.

Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na matibabu.

Uyo kimbele mbele kime mzidi kilicho mpeleka kuingia umo kwenye huo uzio ilkua ni kitu gani au alijua uyo Simba ni kama wale wa saba saba!!???
 
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.

Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,

Mkuu huyo jamaa sio mtalii ila ni mfugaji wa huyo simba na kaanza kumlea huyo simba kuanzia ana siku 10 so hakutegemea kama huyo simba ata muattack na hapo alikua kaenda fungua geti watalii watoke
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
 
Kwa hivo hii habari imetokea lini mkubwa?
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Da inauma ,wanyama ni wanyama hata umlee vipi, kuna siku atakugeuka, tho na binadamu ni zaidi ya simba
 
Wazungu wajinga sana kwenye haya mambo,, kuna mwingine alikanyagwakanyagwa na tembo Seronera kwa ujinga kama huu, eti akaenda kushikashika masikio ya tembo! Lilimkanyaga!
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
simba na nyoka cio wanyama wa kufuga ao wakshakua awana fadhila
 
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.

Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,

Badala ya kumsaidia wao wanarekodi video
 
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.

Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,

Wangempa Kwanza Simba chakula cha kutosha
 
Mkuu huyo jamaa sio mtalii ila ni mfugaji wa huyo simba na kaanza kumlea huyo simba kuanzia ana siku 10 so hakutegemea kama huyo simba ata muattack na hapo alikua kaenda fungua geti watalii watoke

Huyo mzee jina lake nani kama hicho ulichoandika ni kweli.. taja jina lake na hiyo zoo tuzame Google tusilishane kasa bila sababu
 
...Kumbe south Afrika?,juzi hiyo video ilisambaa whattsapp eti imetokea Ruaha?..wabongo bhana..
 
Kivyovyote vile mnyama hawezi kuwa na akili kama za binadamu, atakustahi leo ila iko siku atakushow.......

Nmekumbuka muvi ya life of PI
 
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.

Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Eti haijulikani kwanini alitaka kumla!!🙂
 
Back
Top Bottom