Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

Umeelewa lkn au umejibu tu [emoji1787]
 
We jamaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli bwana itakuwa kuna sehemu ninakosea step. Ni kupigwa vibuti tuu huku pm.
Namshukuru yule aliyeanzisha uzi wa picha za warembo...ukiangalia kule unanyetuka unakuja kuendelea na mjadala mwengine
 
Mara nyingi ukiwa stranger ni rahisi kusukumiwa huko kwenye friendzone.

Urafiki ni stage ya mwanzo kabisa ya mahusiano kuelekea kwenye ndoa.
 
Ukikubali kuwa na urafiki naye bas mawazo ya kumgonga yaweke kando. Hakuna mwanamke atajishusha afanye mapenzi naww akijua tu ulikubali kuwa rafiki ake. Na ata ukimla hamuwezi kuwa na mahusiano ya maana zaidi ya kuchukuliana poa.

Situation kama iyo. Unapokuwa unamtongoza demu kwny lines zako mnapokuw mnafahamiana evu jarbu kuuliza vitu mademu hupenda. Mfn Unapenda kutoka usku kuparty au unapenda swimming. Nguo za aina gan anapendelea nk... izo vitu hufanya mwanamke awaze nn atakosa akikukataaa

Akisema tuwe marafiki mwambie "mm nna marafk wng wa kke. Na hakuna rafk kat ya hao naowaza kuwa nao kmapnz ila ww. Itakuw ngumu kuw around you" halaf mpotezee... don't be needy. Wanawake wapo kibao. Asipokurudia kuanzisha mawasiliano well and good! Kwann uangaike kuw na mtu ambaye hakutaki. Akirud sasa tayar ushakuw mwendesha mahusiano. You'll control that r/ship na utajua amerud kwa kutii conditions zako

Mwisho kabsa. Sio kila demu utayemtongoza atakukubali. Jiandae kukubali jibu la Hapana siku zote. Iwe kwny kuomba kaz au nn. Zoea rejection itakupunguzia mambo mengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…