Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

Meshacky Allyson

Senior Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
130
Reaction score
252
Wakuu za saa hizi.

Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae.

Sasa wakuu hebu tupeni mbinu ma legend , kwenye situation kama hii mnapinduaje meza kibabe.. [emoji41], ili finally umiliki mtoto au ule mtoto kimasihara.

Karibuni..
 
Unaendelea kuwa rafiki unamsuport anakuita cousin unatulia tu unafanya kumsahau, kuna siku tu lijamaa uko litaharibu utaona dem anakuja kulia kwa cousin... akiwa vulnerable wewe unamaliza kama kumsukuma mlevi vile

Ukiona hiyo unasubir sana kuna nyingine zipo
 
Kubali huo urafiki wala usiwe na shaka nae. Muache acheze karata zake zote na wewe fata mchezo wake tu akinogewa mpige stop gafla bila yeye kutegemea kisha cheza karata zako za kumaliza mchezo.

Yaani omba out nae kisha yeye aende wewe usitokee, kisha mzimie simu na baada ya masaa mawili anza kupatikana ila usimtafute hata kidogo kausha tu.

Nae akizuga kaa kimya hivyo hivyo usijipendekeze maana atalipa kisasi then ego yake itakua satisified hapo atapata nguvu.

Akija kukuuliza kwa nini upo kimya mjibu nilikupa muda wangu wote ila umeshindwa kuutumia hivyo sikuona maana ya kuendelea na wewe. Endelea na mambo yako..... ukijimjibu hivi hakikisha huo msimamo unaushikilia vinginevyo meza ataipindua ile kwako.

Baada ya hapo hakikisha yeye ndio anatumia nguvu nyingi kuwa na wewe ....

Mbinu hii haitaki longolongo ukibugi tu yaani ukajipendekeza umeharibu kila kitu
 
Kwann umlazimishe?

Hiyo ipo kwa wale wanawake wabinafsi, wachoyo, na walafi, wanaopenda kula vya mwanaume lkn hawataki wao kuliwa, inshort hao hata urafiki haufai kuwa nao maana ni friend for opportunities,

Ukipata jitu la aina hiyo,, please NEXT HER, DONT WASTE YOUR TIME..mimi pia nipo kwenye harakati za kumnext huyu mjinga.

Ukimfukuzia sana kama anaforce muwe marafiki, mwambie hana vigezo vya kuwa rafiki yako bali mpenz, so achague kimoja, mahusiano ama kila mtu atake bizness zake, ondoa ukaribu na watu wa aina hiyo, utakuta linakuonea wivu hata ukianzisha mahusiano na watu wengine, lkn kwake ukimfungukia anaruka, sasa wivu wanini[emoji23][emoji23][emoji23]NEXT HIM/HER
 
Unafikiri Kura kimasihala ni rahisi hivoo...🀠🀠🀠unaweza kununua banana splinter mlimani city?? Kununua kuku WA KFC pia unaweza au unatunisha jando Tu kama kiwembe cha uzazi
Hii kura inapigiwa wapi? Na kimasihala ndio nini?
 
Ukiona mwanamke anakuweka sana kwenye friendship zone ujue tayari ammekukataa huyo.(technically)

Na hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mwanamke wa aina hiyo.

Infact, kabla hujampata mwanamke na kuwa wako hatakiwi kukuzoea sana!

Ndio maana, anaweza akakuzoea na ukamtongoza akakataa, akaibuka jamaa akamtongoza na kumbeba ukabaki dolo

Una option kubwa tatuπŸ‘‡

1. Unaweza kukubali kuwa rafiki yake.

2. Unaweza ukaendelea kukanyaga mafuta mpaka atakapoelewa au utakapochoka.

3. Unaweza kumpotezea.
 
Hii style ya kujizima data huwa ina make sense kama ushamsomesha mtoto kuwa uko deep nae. Kisha unampa treats kibao af siku ya siku unamkatia umeme ghafla.

Lazma atajiskia hovyo tu then unatambaa na gap. Akitaka muende sawa unamla kwanza wengi hukubali kuliwa tu yaishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sababu company yako ni muhimu kwake
 
Kuna kashenzi kamoja kaliwahi kuwa na itikadi hizo, kuliwa hataki ila anapenda favors πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui huwa wanajikuta akina nani!
 
Nilimzimiaga data mmoja wa dizaini hiyo na yeye akajifanya kuzima data, mwanaume nikakaza nikaamua kuzima kabisa na simu yenyewe.

Kumbe manzi hawezi kukaa hata nusu mwezi bila kuingia JF ikabidi awashe data bahati mbaya akawa hanipati online hata kwa normal calls ilibidi anitafute physically maana hata sanduku la posta nilifunga hivyo hata kwa barua hakuweza kunipata, kilichofuata ni TEMBA ft MAKAMUA.πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Temba ft. Dully Sykes hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wahuni huwa tunakula kazi nyingi kwa style hio
 

Demu asipokupenda kimapenzi, usijisumbue,we fanya issue zako, mashetani yake yakimpanda unaweza ukala ki- mzaha
 
Temba ft. Dully Sykes hio [emoji23][emoji23][emoji23] wahuni huwa tunakula kazi nyingi kwa style hio
Wanasema ukimpa attention mwanamke atakunyima attention yake, ukimnyima attention yako atakupa ya kwake. Ni mbinu nzuri sana ila inahitaji moyo mno, maana kujizuia kutomshobokea manzi kama huna msimamo ni ngumu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…