Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Nijuavyo mimi, mwanaume ukijifanya very innocent kwa mwanamke basi utaipata, acha yeye ndiyo agundue kama wewe unamjali, unampenda na humchiti, ila sio eti kumwambia huweki password kwajili yake ili akuamini na kujifanya upo wazi sana na I kumtaka na yeye awe kama wewe kwa kuikagua hata simu yake mara kwa mara utaishia kuumia tu na atakuona wewe bwege tu, jifunze kupotezea simu yake heshima itakuja tu
 
Jamani nipeni ushauri,

Mpenzi wangu hataki nishike simu yake hivi ni kweli kuna upendo hapo.

Mahusiano yana miezi nane nikichukua simu kwa nguvu ana nuna eti anasema hadi namchunguza simwamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sim yake yanini ???mm siwapendi watu ambao huw wanajua kushikiana sim ndo kupendana siwapendi sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ukichukuwa simu ananuna ,na kwanini Uchukuwe?
Au unataka mwenzio awe ana nuna ndo Unaskia Raja

2😛ili inaonekana unaipenda simu yake kuliko yeye mwenyewe
 
Kama simu ni yake,huna ruhusa ya kuishika maana pengine mule kuna ishu za familia yao!

We shika mwili wake bhana.
 
Back
Top Bottom