Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Kama mpenzi wako sio muwazi kwako na kuna vitu anakuwekea mipaka ujue ana makandokando mengi. Jiongeze kama mwanamme, uyo hafai kuwa mke.
 
Mkuu hapo unatafuta kifo ya nini kujipanikisha mwache abaki na simu yake na wewe baki na yako humo kwenye simu yake unatafuta nini? Muamini mpenzi wako acha mambo ya ajabu hizo zilipendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Hiv kushika shika simu ya mwenza wako ndio kujua kama unampenda kwel au wehu?
 
Kinachokupa faraja ndicho kitachokuhuzunisha.
Kama hutaki kuumizwa basi usithubutu kupenda abadani.
 
Nawewe miezi nane kwenye simu za watu unataka nn? Au mnaishi pamoja?Au tayari ushakua mchumba?Au mke halali.....kama sio umeji hakikishiaje sasa kwa ndo wewe tu ? Wanaume wenyewe ndo hawa ukitoka anaingia mwenzako. ....... Usilazimishe maji kupanda mlima....kama ni wako wa halali angalau
 
Kama huna uhuru kwenye vitu vyake huyo hakufai,yupo na wewe kwa muda tu malengo yake yakitimia ataenda panapomstahili na huko atakabidhi na simu aitumie pale anapohitaji tu,kwenye mapenzi hakuna mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni jepesi tu hapo mbona,...yaani haupo salam ata kama sio vzur kushika smu ya mpenz lakn kuna wakat ukimwambia mpenz nipe smu akikupa tu bila tatizo basi hana mambo mengi ila ukiona visingizio kibao basi jua kuna vtu hataki uvione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu yake ina uhusiano mkubwa sana na papuchi yake hawezi kukuacha uangalie kirahisi rahisi ivo.
 
Never trust a woman my brother. Mimi sishiki simu ya bibie mara kwa mara ila anajua huwa naamua kumwambia anipe wakati wowote nikiamua. Unajua mwanaume lazima uwe na misimamo. Mwanamke wako huyo huna haja ya kushika simu yake kila wakati. Ila mwambie kuwa the day akisaliti ndio mwisho wa relationship. Wanawake wana mbinu nyingi mno. Anaweza akakuachia simu hapo ukae nayo, kumbe anayo nyingine inabaki ofisini. Au anatumia tablet au laptop akijifanya anafanya kazi za ofisini usiku kumbe anachat. La msingi ni yeye ajue tu kuwa akichepuka na mchezo unaishia hapo hapo. Wanawake wazuri wamejaa, kwanini uache msaliti mmoja akuzingue. Not me.
 
Back
Top Bottom