Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Hataki nishike simu yake, nikiichukua ananuna

Acha mazoea ya kushika simu ya mwenzako. Itafika time na ww hutataka simu yako ishikwe. Endelea kumwamini...mchunguze pale tu inapobidi
Lile ombi langu kwako utalitimiza lini my dear?
 
Acha ushamba basi. Nywila ni password. Wa nchi gani weweee?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wala sikai kwenye nchi nakaa baharini ndomana nina kaushamba flani, si unajua tena nature ya kazi yangu lakini[emoji12] [emoji6]
 
Unashika Simu yake wewe ni.polisi!?

Wewe ni technician wa Simu !?

Wewe ni customer care wake unataka umpokelee simu!?

Wewe huna Simu yako uishike au yako mbaya!?

Any way, I can feel a heartaches visiting your body followed with a suddenly death.
 
Back
Top Bottom