Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Huku tuko mbali ujue tunatumia Zphone 666.Baharini kuna smartphone? Hako katecno si kataloa maji? Au unatumia iphone 7?
Huku tuko mbali ujue tunatumia Zphone 666.Baharini kuna smartphone? Hako katecno si kataloa maji? Au unatumia iphone 7?
Teh haya bwanaHuku tuko mbali ujue tunatumia Zphone 666.
Kwa nini nipoteze energy kufight wakati mimi na wewe tumeshagundua njia na mbinu rahisi ni wewe tu kunielekeza na kunifundisha mambo ya kufanya ili kupunguza urasimu mwaya?!!.......urasimu utatupotezea tu muda wetu wa kufikia hatua ya kula tunda mwaya!Wewe ni mwanaume buana! Fight with your condition ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu bibie, msalimie mtabibu[emoji85] [emoji40] [emoji125]Teh haya bwana
Sijamuona tangu ile siku ya mechi. Ila wiki ijayo nitaumwa...itabidi nikatibiweKaribu bibie, msalimie mtabibu[emoji85] [emoji40] [emoji125]
Hakuna kitu kirahisi. Tumia mbinu unazoamini zitafanikishaKwa nini nipoteze energy kufight wakati mimi na wewe tumeshagundua njia na mbinu rahisi ni wewe tu kunielekeza na kunifundisha mambo ya kufanya ili kupunguza urasimu mwaya?!!.......urasimu utatupotezea tu muda wetu wa kufikia hatua ya kula tunda mwaya!
Acha hizo!.....urasimu utatunyima mgegedo hivi hivi my dear!!Hakuna kitu kirahisi. Tumia mbinu unazoamini zitafanikisha
Wewe ndo mwenye shida ujue. Mi mgegedo wa huku unanitosha vizuri.Acha hizo!.....urasimu utatunyima mgegedo hivi hivi my dear!!
Aisee haya bhana ila una hatari sana ujue.Sijamuona tangu ile siku ya mechi. Ila wiki ijayo nitaumwa...itabidi nikatibiwe
Hatari lakini salama.Aisee haya bhana ila una hatari sana ujue.
Utakuta hajawahi kumnunulia hata pedi lakini kelele kibaoSio mke ni gelofrendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kiboko!Mi kuna rafiki yangu aliombwa simu na mpenzi wake ghafla tu machozi yakamtoka ,,mpenzi wake akamuambia basi hii hapa simu yako yaan mpaka machozi hii simu ina ninii??
Am sure hajawahi. Hata hiyo simu hajamnunulia yeye
Nilicheka mpaka nikalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kiboko!
Hahahaha watu wana vituko asee.Mi kuna rafiki yangu aliombwa simu na mpenzi wake ghafla tu machozi yakamtoka ,,mpenzi wake akamuambia basi hii hapa simu yako yaan mpaka machozi hii simu ina ninii??
Mgegedo wa huko wapi?Wewe ndo mwenye shida ujue. Mi mgegedo wa huku unanitosha vizuri.