Hataki ninyoe

Hataki ninyoe

Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....

Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....

Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!

Si kila unachosoma ni reality boo and usichukulie kila kitu serious utapata shida i only choose to share wat i want u to know,muongo anaesahau alipodanganya si muongo anajaribu kudanganya huyo
 
Njemba nyingine hazioni noma zinapiga mzigo kisha zinasepa ukija kukagua vuzi bado limejaa.

Ni moja ya mbinu ya ulinzi wa mipaka yakeyaani wewe uone aibu ya kupeleka papuchi nje wakati kumejaa manywele
 
Bibie kila mwanaume anastaili yake ya mapenzi hiyo yeye anaskia raha akiona hizo nywele nana alikudanganya kuwa vuzi ni uchafu wangapi wanayo na mpango wa kunyoa hawana

Maybe naona shida sababu sampuli hii sijawahi kutana nayo ndomana inanipa shida kikawaida nimezoea kipara
 
Si kila unachosoma ni reality boo and usichukulie kila kitu serious utapata shida i only choose to share wat i want u to know,muongo anaesahau alipodanganya si muongo anajaribu kudanganya huyo
Fid Q ...muongo hapaswi kuaminiwa hata pale anapo diriki kusema UKWELI .... so kama utakuwa una wanywesha watu chai humu then wakalitambua hilo ...utakuwa unajipunguzia nafasi ya kuaminika ..... mchana mwema
 
Njemba nyingine hazioni noma zinapiga mzigo kisha zinasepa ukija kukagua vuzi bado limejaa.

Njemba anaeza asione noma shida ipo kwa mwenye v***inakuondolea confidance htr
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fid Q ...muongo hapaswi kuaminiwa hata pale anapo diriki kusema UKWELI .... so kama utakuwa una wanywesha watu chai humu then wakalitambua hilo ...utakuwa unajipunguzia nafasi ya kuaminika ..... mchana mwema

Usemacho kina ukweli ila kubaliana nami chai bila sukari hainogi!!uwe kwako pia
 
Kwani utamu unapungua? Na kama huyo njemba naye anapenda vuzi kwanini ukose confidence? 😜

Njemba anaeza asione noma shida ipo kwa mwenye v***inakuondolea confidance htr
 
Kwani utamu unapungua? Na kama huyo njemba naye anapenda vuzi kwanini ukose confidence?

Alikuta kipara hayo mahaba ya kutaka v*** yamekuja baada ya show
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama nyasi ni zili za juu tuu ziashe
Ila kama ji zakuota shamba zima .... Mwambie azikate zitakuja mkatia mpini
 
Kama nyasi ni zili za juu tuu ziashe
Ila kama ji zakuota shamba zima .... Mwambie azikate zitakuja mkatia mpini

Anapenda shamba zima anapaliliaga mwenyewe ambazo hazitokata mpini
 
Wakuu ni kawaida kusafishwa maeneo na mwenzi wako?? maana huyu mkuu simuelewi hataki kabisa ninyoe anasema zikizidi yeye ndoataona azinyoe na biti juu nikinyoa ntamweleza nilikipeleka kwa nani kipochi manyoa staki kumkwaza ila kukaa na v*** sijazoea....
Lete vuzi tuchambue moja moja tuyalaze pembeni mashavu yabaki safi kwa kuliwa usije kuchuna boo
 
Back
Top Bottom