Hataki kuvua gamba

Hataki kuvua gamba

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,367
263.jpg


mwana CCM asiyekubali kujivua gamba
 
Duh! Lakini safari HAKIKA watajivua tu! Wapende wasipende. Ha2takubali hata kidogo. Shenzi taip!!
 
kwa jinsi hayo magamba mguuni yamekomaa huyu atakuwa EL
 
Yani kuna watu hata haya hawana hata gamba kulivua tu hadi wasemwe weeeeee pengi hata lisivue linajida kama halisikii.Cha ajabu mkilisema kwa mahakama kuna mijitu tena inatoka inawatetea yani kama vile laaana si laaana, balaaa si balaaa,kulongwa si kulongwa, Mi nafikiri kama ukishindikana tena hapa afatwe mama yake aulizwe na mkanye mwanae mi nafiki atamuelewa mama yake mzazi maana serika imeshindwa.
 
But nashindwa kuelewa maana ya mwana-ccm kujivua gamba.Mwana CCM akienguka CCM niyeye ndo kajivua gamba au chama cha CCM ndo kimejivua gamba?Kama Mwana CCM ndo kajivua gamba basi CCM ndio gamba lenyewe na kama chama cha CCM ndo kinakuwa kimejivua gamba,basi mwana CCM aliyeenguliwa ndo gamba lenyewe.
 
Back
Top Bottom