Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Binti kukunyima mechi si kigezo cha kuwa ni mpole na siyo mhuni, wanawake anaweza kuwa na wanaume 2 mpaka zaidi , Mmoja anaweza kuwa anapewa show ya kibabe hlf, wewe unaambiwa hakuna mpaka ndoa kumbe hakuna chochote.
 
Utashikilia pembe sana usipojiongeza.
 
Binti kukunyima mechi si kigezo cha kuwa ni mpole na siyo mhuni, wanawake anaweza kuwa na wanaume 2 mpaka zaidi , Mmoja anaweza kuwa anapewa show ya kibabe hlf, wewe unaambiwa hakuna mpaka ndoa kumbe hakuna chochote.

Umenena vyema mkuu, hiyo ni kweli.
 
Hahahaha mtu anakubania miprotini imekuja mpaka kichwani hadi ubongo umefeli. Ni sawa tu tukionekana hatujielewi.

Deo Kisandu alitaka serikali iingilie kati imsaidie kut0mba
Hahaaa naona kitufe cha ban now days mods wamekigeuza kuwa peremende
 
Hahahaha mtu anakubania miprotini imekuja mpaka kichwani hadi ubongo umefeli. Ni sawa tu tukionekana hatujielewi.

Deo Kisandu alitaka serikali iingilie kati imsaidie kut0mba
Gundi zikizidi huwa zina tabia ya kuathiri mfumo wa ubongo. Unaweza kufanya vioja kumbe ni ugwadu tu unazingua mifumo🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…