Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Hivi hao mademu wa kunyima papuchi bado wapo? Pole sana inaonekana hajakukubali hata kidogo piga chini tafuta mwingine!!
 
Ingekuwa unatafuta mke ningekuambia shikilia hapohapo lakini kumbe unataka kumchezea mtoto wa watu bure hiyo haikubaliki hata kidogo.
Nyie ndiye mnaoshiriki kusababisha single mothers kisha mnawatoa maana humu!

Huyo binti nampongeza sana kama ataendelea hivyo hadi atakapoolewa!
 
Njoo DM nikupee mbinu zetu mabaharia.. Hapa anaweza akasoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Muoaji ni mimi mwenyewe ikiwezekana.
 
[emoji23][emoji23] wivu tu unakusumbua mkuu, wanawake wapo tofauti unaweza kuta ana hofu nyingi tu hebu jaribu kuongea naye taratibu .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…