Princ
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 285
- 91
Samahani ndugu wajumbe, kidogo nimechelewa kufika...
Naomba kuwasikisha.....View attachment 817147
Acha tu mkuu ..kupata field tu imekuwa ni kazi. Sasa kazi sijui itakuwajeNi kweli Kabisa!Ajira Ni Ngumu Sana Kupata Kwa Tz Ya Sasa!Kama Huna Mtu Unayejuana Nae Kwenye Ofisi za Watu Bora Ufuge Kuku!Watu Walioko nje Ya Mchezo wanaona Kutafuta Kazi Ni Rahisi Sana Ila Wangejua Jinsi Gani Ilivyokuwa Ngumu Kupata Kazi Wangenyamaza!Unakuta Mtu Una sifa Zote za Kupata Kazi Ila Sababu Hujuani Na Watu Wazito Unapigwa Chini
Kwa maelezo yako mbona hataki ushahuri?Kuna watu wanaishi vizuri kweli
Kuna jamaa yangu kamaliza degree ya usimamizi wa biashara kwenye upande wa hesabu na fedha na Yuko vizuri kweli kwenye utendaji.....anasema hana muda wa kutafuta kazi bora akafuge kuku labda yeye ndio atafutwe.. .. .hahahaaz amenifurahisha
Hebu mpeni ushauri.