Hebu nirushie tena, zile nili delete bahati mbaya.
Sogea karibu nikuambukize
nikuforwadie kwenye Wozap??
Matibabu yapo lakini? Si uniambukize alafu amana dawa sitaki
Mrushie hata jiwe
mie hata simu sina
sa nikurushieje?
Hebu ziweke hapa hizo vieo tuthibitishe.