Hata wanyama wana dini.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,422
976
Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!
 
Terrire

Member
Jul 13, 2011
88
9
Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!
Nice!!!
Unanikumbusha stori ka hiyo, panya pia walitegewa nyama, siku iliyofuata hiyo nyama ilikuwa hivyo hivyo, wakakuta kikaratasi panya wameandika "Sisi ni Marasta hatuli nyama"
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,954
3,281
Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!

...bila shaka ni Suni hao!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom