CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Nakushukuru mtu mada.... Umegusa kunako!!!
hapana kwakweli atakuwa hatari kwa afya yangu
weka mbali na mie real man ananitosha!!!!!
hata nikinuna na kugoma nizoee am romantic there(kazi yangu ya askari magereza inaniathiri harooo harooo baby............)
mimi hapa tu ndio nimepaona na natamani wanawake wote wa JF na wasio wa JF wapasome hapaWanawake punguzeni kulinganisha mapenzi ya tamthiliya, care, romansi wanazoonyesha huko na kutaka upewe kwa kiwango kile kile.
mmmh naomba tu nisifanyiwe haya make nitanenepa sana afu ntakuwa mvutoless
cc: asakuta same pita ujionee mwaya
Naomba nipite kimya kabla sijazua kizaa zaaa!
Jamani wanaume wengine hawawezi kuwa romantic haswa ile ya kitamthilia. Labda wajilazimishe/wa-fake.
Muhimu ni mwanamke kuwa muelewa (ujue namna mwenzio anavyochukulia kuwa romantic maana hata kurudi safarini na gunia la mkaa, kukuambia usichelewe kurudi nyumbani, kushinda nyumbani na wewe ni kuwa romantic for some.), kuridhika (kubali/furahia unayofanyiwa), ku-appreciate na ku-acknowledge jitihada za mume/mpenzi wake. Tatizo wanawake wakati mwingine wanaacha kuwa reasonable na kudemand mambo ya ajabu ajabu kwa mwanaume in the name of being romantic na ndio maana wengi wanaonekana kufeli. Ila ukweli ni kwamba wanawake ndio wanaofeli kwenye kuridhika, kuwa waelewa, ku-appreciate jitihada za wanaume n.k.
tatizo lililopo ni mwanamke kuamini kuwa yeye ndo mtu wa kufurahishwa tu(tena vitu vya kifahari) siku zote ,nawakumbusha wanawake woteeeeee duniani LOVE is 50/50 percent ikiegemea upande mmoja siku akikuchoka zigo la misumari lazima atalitua tu,We love those who add value to our life haiwezekani unarud home mtu kanuna.......,life expenses zote unagharamia wewe,furaha nayo umeinunua kutoka kwake kwa mahari,vizawadi (majumba na magari) etc bado ulazimishe upendo?you are not such special girl who are you by the way?Lazima upokonywe dhahabu yako
Tutathibitishaje munkari wengi sikatai ni kweli mdada anaweza akapendea mwanaume kitu kingine zaidi ya pesa lkn tatizo ni kumpata mwanamke wa hivyo anayesema mm nakumbenda hivoulivyo basi ni 2%
Ukiweka nyama peke yake nyanya peke yake pilipili peke yake chumvi peke yake binzari peke yake tangawizi peke yake ndimu , vitungu saumu nk nk huwezi kupata ladha ya kitoweo. Muhimu ni kuvichanganya kwa ustadi ukiongeza na joto la kadiri.
Pesa peke yake haitoshi, romance peke yake noma
hata nikinuna na kugoma nizoee am romantic there(kazi yangu ya askari magereza inaniathiri harooo harooo baby............)
Da! umeongea man... madem wanajiona wao ndo wakuwahendo af cc tunashika bomba!tatizo lililopo ni mwanamke kuamini kuwa yeye ndo mtu wa kufurahishwa tu(tena vitu vya kifahari) siku zote ,nawakumbusha wanawake woteeeeee duniani LOVE is 50/50 percent ikiegemea upande mmoja siku akikuchoka zigo la misumari lazima atalitua tu,We love those who add value to our life haiwezekani unarud home mtu kanuna.......,life expenses zote unagharamia wewe,furaha nayo umeinunua kutoka kwake kwa mahari,vizawadi (majumba na magari) etc bado ulazimishe upendo?you are not such special girl who are you by the way?Lazima upokonywe dhahabu yako
Umeongea vyema mzee, but why 23 days????Unawezaje kuwasiliana na mke wa mtu kwa siku 23????Hukujieleza kuwa wewe ni nani kwake, lakini kwa nini utumie siku 23 unaongea na mwanamke asiye wako?
OOOpsssss.................
Tusiokuwa na pesa ngoja tupite kimya kimyaJamani nani anabisha ukweli kwamba pesa ndiyo kila kitu?
sijaona jipya hapo maamaa............