The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
hatimaye ugiriki wameambulia sifuri. hapa nawaza asee leo mizunguko imenifanya nisilale mchana sasa saa tatu hii nina usingiz balaa na siwezi kosa mech ya england na italy sijui niimis hii ya saa nne niamke badae badae sijui nijikaze kikik niangalie zote dah!!
Mumeo anapenda mpira?