Dah aise..kuna watu wana bahati kweli..yaani ndio starehe yangu hapa duniani kimichezo
Dah aise..kuna watu wana bahati kweli..yaani ndio starehe yangu hapa duniani kimichezo
hapo ndipo raha ya kuwa single inapokuja.
si ukae uangalie kwako
dea mpira mtamu mkiwa wengi peke yangu inaboa
dea mpira mtamu mkiwa wengi peke yangu inaboa
We mwambie tu kuwa mume wangu eeh mi ndo nasepa utanifungulia !!
Andika barua ya maombi
brazil ngoma ya 2 kama kawa neymar-kitu penati lol!!! ila ile y pili kipa alijitahid kumuotea neymar kidooogooo sema mpira ulikua wamoto sana akaudaka na kuuachia ukaelekea nyavuni tihi tihi tihi!
mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.
mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.
Mi labda nipelekwe nikaangalie mieleka nikamshangilie batista na Rock
Tunatofautiana sana asee.mke wangu hata nikimwambia twende club hapendi,beach yenyewe lazima nimlazimishe.amenifanya hata mie niwe nazubaa home tu.Kuna watu wana bahati mweee!
Yani me hapa nimepigwa life ban ya kukanyaga stadium roho inaniuma hatari, halafu wife wako anakataa kwenda?
Yani siku hizi zikipigwa mechi pale basi napigiwa simu kila baada ya dakika tano, ole wangu nisipokee....ili kama nipo uwanjani asikie makeleleee!
Nimefungua haraka haraka uzi nikajua mpira kondomu,si unajua wengine sisi madalali wa kuuza kondomu.
Wapo tele...ukisikia mume hapendi sports ujue ndo hao
napenda mpira sana na mume hapendi wala hajui kuhusu mpira sisi leo hatareee kucheki peke yangu hainogi mpaka niende sehemu,hapo sisi nashindwa nianze vip kuomba ruhusa .
Wanawake wenzangu mnaopenda mpira mmeomba vipi ruhusa.