Hata wanaume hubeba mimba

Mashetani aya mkuu,
 
maana umeshanibumbulusha ngoja nimtwange mimba halafu nimwambie hiyo mimba nimembebea itabidi anihudumie mimi ni full kujiachia supu kuku haipigi chenga, serengeti mbili asubuhi, mchana mbili usiku tatu mara miezi tisa. sijatengeneza shavu tu mpaka hapo ?
 
Kumbe ni kweli inatokea! Mi nilidhani ni fiksi tu
 
Ukimbebea yeye hapati yale mahangaiko ya mimba! Msichana atajua tu kua umembebea.
 
Kuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
 
Ukimbebea yeye hapati yale mahangaiko ya mimba! Msichana atajua tu kua umembebea.
mkuu shida ni kwamba kama alivyo learner wa gari anavyobabaika na mimi nitakua learner wa kubeba mimba, ataweza ? mara inataka sambusa, mara serengeti miksa konyagi kwa mbaaali, ghafla mimba inataka nichepuke [emoji16][emoji16][emoji16]...@
 
Duuu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…