Truth Be Told
Senior Member
- Oct 23, 2017
- 121
- 196
ukishavuliwa nguo tu na mwanaume, kwisha habari yako. hata mondy sasa hivi anamuona Zari wa kawaida saaana. hizo nyodo kawafanyie ambao bado hawajakuchungulia.
baadae sanaLabda km umemuachia shimo tu na makinikia yote uliiondoa vinginevyo wapo watakaoendelea na uchimbaji na watatoa makinikia nyingo kukuzidi
Wee ni nani alikuambia umfunulieukishavuliwa nguo tu na mwanaume, kwisha habari yako. hata mondy sasa hivi anamuona Zari wa kawaida saaana. hizo nyodo kawafanyie ambao bado hawajakuchungulia.
Dada yako uliwahi kumwambia haya?ukishavuliwa nguo tu na mwanaume, kwisha habari yako. hata mondy sasa hivi anamuona Zari wa kawaida saaana. hizo nyodo kawafanyie ambao bado hawajakuchungulia.
umekurupuka broWee ni nani alikuambia umfunulie
Hayo ndo madhara ya kuchunguliana kabla ya ndoa pole mkuu akitikea mwingine mbanie hadi atangaze ndoa
aliwazalo mjingaAkili yako ndogo endelea kupiga nyeto geto njaa itakutoa nje uone jinsi sufuria zinavyokwanguliwa ukoko
kama hujaelewa basi we sio mwanaume.Dada yako uliwahi kumwambia haya?
Unamaanisha hata baba yako ameipunguza thamani ya mama yako baada ya kukuzaa wewe na ndugu zako? Kwanini mnafikiria kitoto na kuwaza kivulana?kama hujaelewa basi we sio mwanaume.
bro, haimaanishi ukizungumzia wazazi ndo utaicrush point yangu. wanawake wanaumiza vichwa kwanini wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja, mimi nimetoa jibu.Unamaanisha hata baba yako ameipunguza thamani ya mama yako baada ya kukuzaa wewe na ndugu zako? Kwanini mnafikiria kitoto na kuwaza kivulana?
Wanaume wakomavu hutoa positive comments linapokuja suala la wanawake...ni mama zetu,dada zetu na binti zetu ...yapo mengi kwenye mahusiano na mapenzi na wanaokaa kimya haina maana hawayajui ila tulifundishwa kwamba ukimya ni kipimo cha kupevuka! Fikiria ungeweka jina lako halisi kisha upost ulichopost kisha dada zako,mama na ndugu zako wa kike wasome huoni kama ni udhalilishaji kwao?bro, haimaanishi ukizungumzia wazazi ndo utaicrush point yangu. wanawake wanaumiza vichwa kwanini wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja, mimi nimetoa jibu.
na majibu ni kwamba mwanamke akishavuliwa chupi hamna tena jipya. wanawake wanalialia kila siku wanatendwa, huo ndo ukweli.
Ni facts tu mkuu hamna haja ya povu.
Kwani mpaka unaamua kumvua nguo unakua unategemea ugundue nn? Acha dharau kwa wanawake kwani hao wanaoolewa wote sio wanawake, jitathmin banaabro, haimaanishi ukizungumzia wazazi ndo utaicrush point yangu. wanawake wanaumiza vichwa kwanini wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja, mimi nimetoa jibu.
na majibu ni kwamba mwanamke akishavuliwa chupi hamna tena jipya. wanawake wanalialia kila siku wanatendwa, huo ndo ukweli.
Ni facts tu mkuu hamna haja ya povu.
mimi nawapa majibu wanawake wanaolialia kwasababu ya kusalitiwa. alomsaliti anamaanisha haoni jipya tena kwake, sina maana mbaya.Kwani mpaka unaamua kumvua nguo unakua unategemea ugundue nn? Acha dharau kwa wanawake kwani hao wanaoolewa wote sio wanawake, jitathmin banaa
hapo umenena vema. ila nayo ina deadline.Labda thamani itashuka kutegemeana na anaekuvua.
Kuna watu wanawavua watu chupi na huku hasikii la mwazana wala la mwazini. Kapenda mpaka Kaoza