Hata uwe mzuri kiasi gani..

ukishavuliwa nguo tu na mwanaume, kwisha habari yako. hata mondy sasa hivi anamuona Zari wa kawaida saaana. hizo nyodo kawafanyie ambao bado hawajakuchungulia.
Wee ni nani alikuambia umfunulie
Hayo ndo madhara ya kuchunguliana kabla ya ndoa pole mkuu akitikea mwingine mbanie hadi atangaze ndoa
 
Unamaanisha hata baba yako ameipunguza thamani ya mama yako baada ya kukuzaa wewe na ndugu zako? Kwanini mnafikiria kitoto na kuwaza kivulana?
bro, haimaanishi ukizungumzia wazazi ndo utaicrush point yangu. wanawake wanaumiza vichwa kwanini wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja, mimi nimetoa jibu.
na majibu ni kwamba mwanamke akishavuliwa chupi hamna tena jipya. wanawake wanalialia kila siku wanatendwa, huo ndo ukweli.
Ni facts tu mkuu hamna haja ya povu.
 
Wanaume wakomavu hutoa positive comments linapokuja suala la wanawake...ni mama zetu,dada zetu na binti zetu ...yapo mengi kwenye mahusiano na mapenzi na wanaokaa kimya haina maana hawayajui ila tulifundishwa kwamba ukimya ni kipimo cha kupevuka! Fikiria ungeweka jina lako halisi kisha upost ulichopost kisha dada zako,mama na ndugu zako wa kike wasome huoni kama ni udhalilishaji kwao?
 
Labda thamani itashuka kutegemeana na anaekuvua.
Kuna watu wanawavua watu chupi na huku hasikii la mwazana wala la mwazini. Kapenda mpaka Kaoza
 
bro, haimaanishi ukizungumzia wazazi ndo utaicrush point yangu. wanawake wanaumiza vichwa kwanini wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja, mimi nimetoa jibu.
na majibu ni kwamba mwanamke akishavuliwa chupi hamna tena jipya. wanawake wanalialia kila siku wanatendwa, huo ndo ukweli.
Ni facts tu mkuu hamna haja ya povu.
Kwani mpaka unaamua kumvua nguo unakua unategemea ugundue nn? Acha dharau kwa wanawake kwani hao wanaoolewa wote sio wanawake, jitathmin banaa
 
Kwani mpaka unaamua kumvua nguo unakua unategemea ugundue nn? Acha dharau kwa wanawake kwani hao wanaoolewa wote sio wanawake, jitathmin banaa
mimi nawapa majibu wanawake wanaolialia kwasababu ya kusalitiwa. alomsaliti anamaanisha haoni jipya tena kwake, sina maana mbaya.
 
Back
Top Bottom