Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Gigi kavuliwa sana bikini lakini bado raia wamo tuu.
Hii mbinu ya kizamaaani ya kuzuwia ku Hamadiwa.ukishavuliwa nguo tu na mwanaume, kwisha habari yako. hata mondy sasa hivi anamuona Zari wa kawaida saaana. hizo nyodo kawafanyie ambao bado hawajakuchungulia.
Msamehe bure dada ni mvulana tu huyu, still kuna good men ambao wanajua thamani ya mwanamke na wenye heshima kwa wanawake!Mnatuonea wivu sana mnaona tunafaidiii ndio maana nanyie mnavuliwa tu
hao raia wakimfunua wanabaki wanasepa?Gigi kavuliwa sana bikini lakini bado raia wamo tuu.
huwezi kuelewa.Hii mbinu ya kizamaaani ya kuzuwia ku Hamadiwa.
kama unafaidi kuvuliwa na kutupwa basi sawa, ngoja tuendelee.Mnatuonea wivu sana mnaona tunafaidiii ndio maana nanyie mnavuliwa tu
hakunaga. Daudi na uchamungu wake wote alimtamani mke wa askari angali yeye alikua na mke wake ndani. daudi nae alikua mvulana?Msamehe bure dada ni mvulana tu huyu, still kuna good men ambao wanajua thamani ya mwanamke na wenye heshima kwa wanawake!
nadra sana kukataliwa.Kuna kaharufu kakibuti hapa/ maneno yamkosaji
challenge me if u can.Truth be told, this conversation is too big for you, kid.
Heeee nawe uendelee kuvuliwa? Tuachie **** zetu pleasekama unafaidi kuvuliwa na kutupwa basi sawa, ngoja tuendelee.
Pambafffffff! Idiot!hakunaga. Daudi na uchamungu wake wote alimtamani mke wa askari angali yeye alikua na mke wake ndani. daudi nae alikua mvulana?
ni nature tu mtatusamehe.
Dogo acha kutafuta sympath ya jinsia ke....truth be told kaongea kiume na huo ndio UKWELI MCHUNGU ..... MWANAMKE MZURI NI YULE AMBAYE HUJAMVUA CHUPI FULL STOP.Wanaume wakomavu hutoa positive comments linapokuja suala la wanawake...ni mama zetu,dada zetu na binti zetu ...yapo mengi kwenye mahusiano na mapenzi na wanaokaa kimya haina maana hawayajui ila tulifundishwa kwamba ukimya ni kipimo cha kupevuka! Fikiria ungeweka jina lako halisi kisha upost ulichopost kisha dada zako,mama na ndugu zako wa kike wasome huoni kama ni udhalilishaji kwao?
Pambaff umetumia kipimo gani kuniita dogo?Dogo acha kutafuta sympath ya jinsia ke....truth be told kaongea kiume na huo ndio UKWELI MCHUNGU ..... MWANAMKE MZURI NI YULE AMBAYE HUJAMVUA CHUPI FULL STOP.
kabisa mkuu.Dogo acha kutafuta sympath ya jinsia ke....truth be told kaongea kiume na huo ndio UKWELI MCHUNGU ..... MWANAMKE MZURI NI YULE AMBAYE HUJAMVUA CHUPI FULL STOP.