Umesema million ngapi mkuu?True kabisa kuna jamaa yetu alikaa lupango kwa kubeba mzigo wenye madawa huko airpot. Hiyo kesi imetukosti zaidi ya 200m na mwaka jana ndio kaachiwa.
Hehe kuliko kutoa 200m si heri wangewasaidia famili ya mtuhumiwa tu ye wamwache huko ndani. Si sawa kabisa 200m ukalipe kwenye plea bargain unless uwe kweli umecommit a crimeUmesema million ngapi mkuu?
Niazime bukuTrue kabisa kuna jamaa yetu alikaa lupango kwa kubeba mzigo wenye madawa huko airpot. Hiyo kesi imetukosti zaidi ya 200m na mwaka jana ndio kaachiwa.
Hehe kuliko kutoa 200m si heri wangewasaidia famili ya mtuhumiwa tu ye wamwache huko ndani. Si sawa kabisa 200m ukalipe kwenye plea bargain unless uwe kweli umecommit a crime
Hata kwenye daladala zetu hizi usi-entertain mtu anakuongelesha sijui anakukaribisha biskuti ....Hata akiwa mzee vipi muache abebe peke yake... Airport sio eneo la bahati mbaya
ChaiTrue kabisa kuna jamaa yetu alikaa lupango kwa kubeba mzigo wenye madawa huko airpot. Hiyo kesi imetukosti zaidi ya 200m na mwaka jana ndio kaachiwa.
Chai hiyo stukaUmesema million ngapi mkuu?
Jamaa sijui anatuchukuliajeUmesema million ngapi mkuu?
Li jongo HiloJamaa sijui anatuchukuliaje
Mhh kirahisi hivi?Hivi ulishawai kukataliwa hadharani au kusalitiwa hadharani... mtu anasema hakujui
Mpaka ije kujulikana ushasota sana,yule mdogo wake wema anasota segerea miaka sasa kwa issue kama hizo,usiombe likukuteSimple tu, nikikamatwa nasema huu mzigo wa fulani na kama hamuamini twendeni kwake.
Naachiwa naendelea na maisha yangu