Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!

Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!

Pole sana mkuu,wengi tunapenda kuishinda zinaa basi tu,hamna sababu ya kujilaumu sasa,maji yameshamwagika hayawezi kuzoleka,uangalie wapi ulianguka na jiangalie usianguke tena biga magoti kwa Mwenyezi Mungu utubu kwa roho na kweli,lakini unawajibika kulinda afya ya mkeo,kama haukuyuima kinga tafuta execuse yoyote ya kutosex na mkeo mpaka utakapokua umejiridhisha kwamba umsafi na hauna ugonjwa wa aina yoyote ile.pole sana kwa mapito mnayopitia mzidi kumuomba na kumshikiria Mungu mtafanikiwa tu,hakuna aliyemtumaini Mungu ambaye alishindwa.

na hapo inabidi apumzike kufanya mapenzi kwa miezi mitatu coz ndo vidudu vinaonekana
 
baby kwani wewe ni kawaida sana kuonja nje? mboni unamshangaa mwenzio aliyeonja kwa mara ya kwanza?

ahahaahaa,,,baby sijamshangaa kuonja nje, nimemshangaa anavojishangaa kwa maamuzi yake mwenyewe! he has to grow up and handle issues as a man bana au sio.....mi ntaonja nje kwa shida gani na ndani NAKULA kabisa seuze kuonja😎
 
utakapotubu, inatakiwa ufute kabisa na mawasilano ya huyo unayemwita dada!
 
Jamani, its early morning, kuna baridi nimeguswa na mkono wa moto. Mi nifanyeje? I am only human.
Nashangaa kilichotokea mpaka sasa sipati jibu. Mi si mzinzi ila sasa sa hivi ndo nafahamu kuwa ni kazi hayo mambo.
I know ni rahisi kuninyooshea kidole lakini ndo nshalikoroga sasa.
Wife sijamfanya chochote na kaenda hadi kazini jinsi alivyo na hasira.
Yani msitukane mamba kabla mto haujavukwa, it can happen to u too. Its terrible for me too

Pole. Fanya short cut mchukue bint kampime
 
Jamani naungama yamenikuta mwenzenu du! Yani hapa asubuhi asubuhi nipo safarini toka
mji wa jirani (jina limehifadhiwa) kurudi home na wife hajaenda kazini kila mara ananitumia
meseji mbona sifiki. Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!


Miezi ya karibuni imekuwa ya majanga na majaribu mazito sana kwa ndoa yangu
hata nahisi shetani hataki kabisa tufanikiwe!!(ashindwe kabisa!!). Yani ndugu usiombe upitie hapa.
Sa hivi natoka mji huu nilikoenda kufanya utafiti fulani hivi...Tuko wengi na ndo wote tulikutana mjini hapa baada ya
kutoka kwenye vituo vyetu tukafanya vikao toka jumamosi ili matokeo yasitofautiane sana. Sasa kuna watu waliotufanyia
training kabla hatujaenda ndo walikuja kutusaidia pia kwenye hivi vikao vya tallying. Miongoni mwao alikuwepo dada fulani
ambaye alikuwa kanizoea sana na ghafla. Jumampili baada ya vikao mchana, jioni kila mmoja alielekea kwenye starehe yake.
Mi nikawa naangalia cameroon na tunisia na washkaji.


Yule dada akaja akawa ananiuliza sana maswali ya mpira. Tukapiga stori sana na baada ya mpira nikaona nipande juu
chumbani. Dada kaniuliza mapema hii nalala. Nikamuambia ntakuwa naangalia chochote kwenye tv kisha baadae nitarudi kula.
Akaniuliza kiutani can i come?. Nikamuambia ukaribie kabisa! Ha! Dada wa watu si kaja kweli!


Basi tumekaa kitandani tunaangalia chochote kwenye tv. Mi hali ikawa mbaya (3 weeks sijaonja tunda).
Nikaanza kujifanya kusinzia ili dada ashtuke kama nalala ili aondoke zake. Nikabeep ucngizi ukanipigia kweli!
Nakuja kushtuka saa 10 acbui alarm yangu inanishtua. Kwanza taa na tv zimezimwa na sikuzima nageuka pembeni.
Dada huyu hapa kalala shwari kabisa hata alarm hajasikia! Kama yuko kwake vile! Basi ikabidi nijichunguze kama nimebakwa. Nikakuta niko salama.
Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo. Nimezama
mawazoni nika guswa(alijigeuza). Yani from there akili inakuja kupata akili tumeshamalizana!
hivi mwanaume anaweza kubakwa makubwa
 
...labda ana uzoefu mkubwa wa one night stand...kila akienda 'semina' lazima amtokee mkaka wa kumalizana naye kabla ya semina kumalizika.



wadada nao wana ukwasi.
Raha ya kumpa mtu tundi umsumbue sumbue kidogo.
Khaa we hujaguswa umeshapanua.
Munatutia aibu
 
Last edited by a moderator:
Wife wako mwenyewe atakuwa kabanduliwa balaa wakati hupocso huna haja ya kuogopa
 
Kwani wife wako aliwaona? We fika home kamchangamkie na mpatie haki yake kama kawaida; ila kumbuka ukifika nyumbani piga magoti kaombe msamaha kwa Mola wako.
Huyu atakua keshaambukizwa chezea mtu kufa peke yake. Eti anajifanya alikua hataki khaaaa kwani ulitegemea alikuja kwako huyo mdada kufanya nini. Huu utetezi mwingine huu haupaswi hata kuusema . Ukikutwa tayari usijiue kwa sababu wewe sio wa kwanza na hutakua wa mwisho pole lkn.
 
Mtumishi kuna mtu mna share ID?

Wala, ndo mimi mwenyewe; ukiona mtu kabadilika ujue kuna mengi amepitia na sasa anaamua kumrudia Mungu wake. Ndo mimi original na wala hakuna m2 nashare naye Id.
 
Huyu atakua keshaambukizwa chezea mtu kufa peke yake. Eti anajifanya alikua hataki khaaaa kwani ulitegemea alikuja kwako huyo mdada kufanya nini. Huu utetezi mwingine huu haupaswi hata kuusema . Ukikutwa tayari usijiue kwa sababu wewe sio wa kwanza na hutakua wa mwisho pole lkn.

Yameishatokea; inabidi tujadili future, bora angetushirikisha kabla ya kumgegeda. Sometimes tuwe wawazi katika mambo tunayoyatenda, ambaye hajawahi kufall in love ghafla na kufanya bila kinga kwa mtu ambaye ni mara yake ya kwanza kuonana naye ndo amlaum huyu jamaa. Binafsi simlaum kwani ujana noma. Ila kwa umri wangu sasa hivi ni ngumu sana kuwa controlled na emotion of love.
 
atajiridhisha lini......maana anaweza kwenda kupima kesho yuko fresh

wakati saa nyingine wanashauri miezi mi 3 urudie tena ili kuhakiki usalama wake

ye miezi yote hiyoo atakuwa anampa excuse gani.ukute na mkewe huko ana UGWADU ile

mbaya anasubiri Husband arudi wacheze libeneke..........
Ni ipi plan mwafaka hapa madam?
 
Mkuu kwani lazima ukopy uptake thread nzima unajaza kurusa bure tu! Mnaniudhi !
 
Back
Top Bottom