PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Jamani naungama yamenikuta mwenzenu du! Yani hapa asubuhi asubuhi nipo safarini toka
mji wa jirani (jina limehifadhiwa) kurudi home na wife hajaenda kazini kila mara ananitumia
meseji mbona sifiki. Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!
Miezi ya karibuni imekuwa ya majanga na majaribu mazito sana kwa ndoa yangu
hata nahisi shetani hataki kabisa tufanikiwe!!(ashindwe kabisa!!). Yani ndugu usiombe upitie hapa.
Sa hivi natoka mji huu nilikoenda kufanya utafiti fulani hivi...Tuko wengi na ndo wote tulikutana mjini hapa baada ya
kutoka kwenye vituo vyetu tukafanya vikao toka jumamosi ili matokeo yasitofautiane sana. Sasa kuna watu waliotufanyia
training kabla hatujaenda ndo walikuja kutusaidia pia kwenye hivi vikao vya tallying. Miongoni mwao alikuwepo dada fulani
ambaye alikuwa kanizoea sana na ghafla. Jumampili baada ya vikao mchana, jioni kila mmoja alielekea kwenye starehe yake.
Mi nikawa naangalia cameroon na tunisia na washkaji.
Yule dada akaja akawa ananiuliza sana maswali ya mpira. Tukapiga stori sana na baada ya mpira nikaona nipande juu
chumbani. Dada kaniuliza mapema hii nalala. Nikamuambia ntakuwa naangalia chochote kwenye tv kisha baadae nitarudi kula.
Akaniuliza kiutani can i come?. Nikamuambia ukaribie kabisa! Ha! Dada wa watu si kaja kweli!
Basi tumekaa kitandani tunaangalia chochote kwenye tv. Mi hali ikawa mbaya (3 weeks sijaonja tunda).
Nikaanza kujifanya kusinzia ili dada ashtuke kama nalala ili aondoke zake. Nikabeep ucngizi ukanipigia kweli!
Nakuja kushtuka saa 10 acbui alarm yangu inanishtua. Kwanza taa na tv zimezimwa na sikuzima nageuka pembeni.
Dada huyu hapa kalala shwari kabisa hata alarm hajasikia! Kama yuko kwake vile! Basi ikabidi nijichunguze kama nimebakwa. Nikakuta niko salama.
Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo. Nimezama
mawazoni nika guswa(alijigeuza). Yani from there akili inakuja kupata akili tumeshamalizana!