Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Mhh haya mapenzi ya mbali balaa........
Wabongo kwa kupenda chini hawajambo,sasa huu uzi utakimbiza balaa.
Ngoja mie nikajenge taifa kwanza.
Pole sana mkuu,wengi tunapenda kuishinda zinaa basi tu,hamna sababu ya kujilaumu sasa,maji yameshamwagika hayawezi kuzoleka,uangalie wapi ulianguka na jiangalie usianguke tena biga magoti kwa Mwenyezi Mungu utubu kwa roho na kweli,lakini unawajibika kulinda afya ya mkeo,kama haukuyuima kinga tafuta execuse yoyote ya kutosex na mkeo mpaka utakapokua umejiridhisha kwamba umsafi na hauna ugonjwa wa aina yoyote ile.pole sana kwa mapito mnayopitia mzidi kumuomba na kumshikiria Mungu mtafanikiwa tu,hakuna aliyemtumaini Mungu ambaye alishindwa.
Wabongo kwa kupenda chini hawajambo,sasa huu uzi utakimbiza balaa.
Ngoja mie nikajenge taifa kwanza.
Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo.
Si tabia yangu kabisa....Seriously nna mawazo hata sijui kama nitaexist siku moja bila kumfungukia wife. Na akienda home sasa hivi sijui kama atarudiAu uliamua kulipizia zile hisia zako kuwa wife analiwa na best childhood friend wake? I saw it coming.
Wabongo kwa kupenda chini hawajambo,sasa huu uzi utakimbiza balaa.
Ngoja mie nikajenge taifa kwanza.
We ujamuelewa jmaa kafanya tene nyama kwa nyama na kapiga 3Cheki mwili wako vizuri kama hauna hata tundu la sindano. Usikote keshakuchoma hahahaha, natania mkuu.
What you did was wrong ila nashukuru Mungu haukulala nae(haukufanya nae mapenzi namaanisha). Mkeo usimwambia ILA usirudie na kama una namba ya huyo dada usiwasiliane nae.
Najua hapo hukuwa na condomu. Dah ila watu mna moyo,demu hujui background yake unapga kapa??
We ujamuelewa jmaa kafanya tene nyama kwa nyama na kapiga 3
Hata yeye atakuwa nashangaa huko alipo, mwanaume anawezaje kulala na mchuchu halafu abdala kichwa wazi asilete tabu yoyote!!!
Mwongo!kisukari kinakunyemelea na mdogo wake presha.
Pole sana
Haki ya mungu!!!Umeshajenga uzi tayari mkuu