Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!

Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!

Si tabia yangu kabisa....Seriously nna mawazo hata sijui kama nitaexist siku moja bila kumfungukia wife. Na akienda home sasa hivi sijui kama atarudi

ipi hiyo?
ya udhaifu mbele ya mwanamke au? eti week tatu, really?
anyway it is your life.
 
We ujamuelewa jmaa kafanya tene nyama kwa nyama na kapiga 3

Ila kama ananichanganya vile maana anasema;

Basi ikabidi nijichunguze kama nimebakwa. Nikakuta niko salama.

Halafu pia anasema;

Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo. Nimezama

mawazoni nika guswa(alijigeuza). Yani from there akili inakuja kupata akili tumeshamalizana!

Hapo ndipo aliponichangaya. Alifanya nae mapenzi? Au walilala tu? Kama ndio nimehuzunika mno.
 
Najua hapo hukuwa na condomu. Dah ila watu mna moyo,demu hujui background yake unapga kapa??

Kwani wife wako aliwaona? We fika home kamchangamkie na mpatie haki yake kama kawaida; ila kumbuka ukifika nyumbani piga magoti kaombe msamaha kwa Mola wako.

Ina maana wewe hujawahi kubanwa ukafanywa hivyo hivyo kwa m2 usiyejua background yake? Tuwe wakweli jamani...

Mkuu sio kila unapo banwa ukiona tundu unajisaidia, mengine ni mashimo tena makubwa
 
Ila kama ananichanganya vile maana anasema;

Basi ikabidi nijichunguze kama nimebakwa. Nikakuta niko salama.

Halafu pia anasema;

Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo. Nimezama

mawazoni nika guswa(alijigeuza). Yani from there akili inakuja kupata akili tumeshamalizana!

Hapo ndipo aliponichangaya. Alifanya nae mapenzi? Au walilala tu? Kama ndio nimehuzunika mno.
pole mkuu ndo maana kijana anahtaj ushaur
 
Jamani naungama yamenikuta mwenzenu du! Yani hapa asubuhi asubuhi nipo safarini toka
mji wa jirani (jina limehifadhiwa) kurudi home na wife hajaenda kazini kila mara ananitumia
meseji mbona sifiki. Hata sijui nikifika namuangaliaje usoni!

Miezi ya karibuni imekuwa ya majanga na majaribu mazito sana kwa ndoa yangu
hata nahisi shetani hataki kabisa tufanikiwe!!(ashindwe kabisa!!). Yani ndugu usiombe upitie hapa.
Sa hivi natoka mji huu nilikoenda kufanya utafiti fulani hivi...Tuko wengi na ndo wote tulikutana mjini hapa baada ya
kutoka kwenye vituo vyetu tukafanya vikao toka jumamosi ili matokeo yasitofautiane sana. Sasa kuna watu waliotufanyia
training kabla hatujaenda ndo walikuja kutusaidia pia kwenye hivi vikao vya tallying. Miongoni mwao alikuwepo dada fulani
ambaye alikuwa kanizoea sana na ghafla. Jumampili baada ya vikao mchana, jioni kila mmoja alielekea kwenye starehe yake.
Mi nikawa naangalia cameroon na tunisia na washkaji.

Yule dada akaja akawa ananiuliza sana maswali ya mpira. Tukapiga stori sana na baada ya mpira nikaona nipande juu
chumbani. Dada kaniuliza mapema hii nalala. Nikamuambia ntakuwa naangalia chochote kwenye tv kisha baadae nitarudi kula.
Akaniuliza kiutani can i come?. Nikamuambia ukaribie kabisa! Ha! Dada wa watu si kaja kweli!

Basi tumekaa kitandani tunaangalia chochote kwenye tv. Mi hali ikawa mbaya (3 weeks sijaonja tunda).
Nikaanza kujifanya kusinzia ili dada ashtuke kama nalala ili aondoke zake. Nikabeep ucngizi ukanipigia kweli!
Nakuja kushtuka saa 10 acbui alarm yangu inanishtua. Kwanza taa na tv zimezimwa na sikuzima nageuka pembeni.
Dada huyu hapa kalala shwari kabisa hata alarm hajasikia! Kama yuko kwake vile! Basi ikabidi nijichunguze kama nimebakwa. Nikakuta niko salama.
Sasa nikajilaza najiuliza huyu ni msichana wa aje sasa? How can u sleep with a man ambaye hata humjui kihivyo. Nimezama
mawazoni nika guswa(alijigeuza). Yani from there akili inakuja kupata akili tumeshamalizana!
Pole mkuu we mchukue huyo bint kampime ili ujue kama umeathrka coz ukisema ukapime ww utaonekana huna ni mpakaaa baada ya miez mitatu kama ume ungua uanze maisha mengne tena mkeo atafura coz utamweleza ukwel kama ujazaa naye unamtafuta alie ungua mwenzio mnaanza maisha
 
Hiyo ilikuwa party ya mafanikio ya huo utafiti ulioenda kufanya huko unless afya yako itasteti otherwise hapo baadae
 
Kaunga,eti ulale na mwanaume asikufanye chochote hadi asubuhi ndo utamheshimu na utamuona wa maana.hakuna man kama huyo.yaani anakuangalia tu? Umemgusa na hayo ya kifuani hapo kwako hata hastuki? Labda so mza huyo.mshkaji we potezapoteza tu,komaa kuwa kauzu zaidi ya dagaa,kama vile tunavyofundishwa jeshini kuwa askari hakubali makosa,hata kama amekosea.we komaa tu kama kawaida man.
 
Ooooh.... Masikini Mrs. PetCash, iwapo yule dada alikuwa na maambukizi ya VVU na mtoa mada akapata maambukizo it.means na mkeo naye atapata maambukizo....

Ndio maana tunaambiwa sio wote walioathirika walikuwa viwembe. Wengine wameambukizwa kwa ukware wa waume/wake zao!!!

Pole sana.... Daima majuto ni mjukuu!!!
 
Last edited by a moderator:

kama nakaona hako kadada.....eti...Can i come with you? PERIOD
 
Tutor B na akili zako timamu hivi hivi unajilipua bila kuvaa gwanda tena kwa mtu ambaye humjui kabisa
je unajuaje kama ni carrier na hiyo ni kazi yake aise

Mkuu kwa sasa binafsi siwezi; ila enzi za ujana wangu - duh! mshkaji wacha kabisa .....
 
Mkuu kwa sasa binafsi siwezi; ila enzi za ujana wangu - duh! mshkaji wacha kabisa .....

Mkuu hata enzi za ujana kuna mahali unasema hapa hapana mkuu maana hiyo ni unajilipua wakati unaona unakufa hapo hapo Tutor B
 
Last edited by a moderator:
mh ila kusema ukweli BAADHI ya wanaume jamani mmezidi..yaani ukiwa mbali tu na mkeo huwezi kuwa na subira ukarudi ukafaidi vyako vya haki??? kha!!! umenisikitisha sana mkuu....hapo ukitaka msamaha uwe approved na Mwenyezi Mungu ni uanze kwanza kumuomba radhi MKEO ambapo yeye akikusamehe ndio hata Mwenyezi Mungu atakuwa na radhi na wewe lakini kujitia unafiki kumuomba Mwenyezi Mungu peke yake msamaha wakati uliyemkosea primarily ni mkeo, utakuwa unatwanga maji kwenye kinu...
 
Back
Top Bottom