Najua hapo hukuwa na condomu. Dah ila watu mna moyo,demu hujui background yake unapga kapa??
yan apo kwenye akili inakuja kupata akili mmeshamalizana mi ndo sipaelewag kabisa....eb nieleweshe
ndo mjue wanaume how weak u r ova galz!!!
baby kwani wewe ni kawaida sana kuonja nje? mboni unamshangaa mwenzio aliyeonja kwa mara ya kwanza?
wadada nao wana ukwasi.
Raha ya kumpa mtu tundi umsumbue sumbue kidogo.
Khaa we hujaguswa umeshapanua.
Munatutia aibu
wengine ukileta usumbufu wa sitaki nataka kwa dunia ya sasa tunakuona mzugaji na mshamba fulani hivi........... mvuto unapotea potea vile............
ndo maana mie npo na washamba wenzangu watu milimami.
Easy come easy go
ndo mjue wanaume how weak u r ova galz!!!
hapa unaweza twanga talaka 3 kwa gafulaPetCash swahiba kama ungeniona nilivyolowa!!!!!utafikiri mi ndo wewe au huyo mkeo nimesikitika sana mkuu kwa jinsi inavyoonyesha kuwa umekuwa mtu wa principles sikuzote hasa linapokuja swala la wewe na ndoa yako,dahhh mkuu ungejua ungemkatalia huyo mdada kuja,na ujue huyo mdada ni hatari kama amekosa nerves za kulala kitadani na wewe bila hata mazoea ya karibu!!!!!!!!!!!ila ninge kwa sasa its useless so kwanza pole sana lakini sasa angalia usije ukaiua dhamiri yako kama vipi mueleze mkeo kilichojiri na uwe tayari kupokea lolote ikiwa ni pamoja na kuzabwa makofi na maneno makali(hiyo ni kawaida as kumegewa tunda lako inauma jamani)kama amekuwa akikuamini sikuzote huenda atakuelewa na asipoelewa tafuta msaada wa watu wengine na uache muda upite hali inaweza kuwa shwari tena.
n:b kueleza ukweli kutakufanya uishi kwa amani moyoni mwako na pia uishi na mkeo bila kuumia kwa kujua umemficha jambo zito kama hilo na pia kukuepusha kurudia tena kosa lako,kila la kheri mkuu.
hapa unaweza twanga talaka 3 kwa gafula
hii ndio ilimcost, kwamba atanionaje nisipo mdo. Honestly mimi nikilala na mwanaume asiniguse, nitamuona ndio MWANAUME halisi maana my own definition ya mwanaume halisi ni yule anaweza kucontrol hisia zake, ni yule anayejua anachokifanya ni yule anayeamua nini cha kufanya na nini asifanye; ni yule ambaye hahamishii lawama au mapungufu yake kwa mtu mwingine.
Mr. Rocky, huo ndo ukweli. Halafu asingiziwe shetani, mbonamnamuonea sana shetaniMama PetCash hebu kuja kipande hii usome huu ujumbe
Dah aise mkuu una moyo kujilipua kiasi hicho tena kwa mtu ambaye humjui kabisa wala hujui historia yake
huenda ulijilipua bila hata kuvaa gwanda
Au uliamua kulipizia zile hisia zako kuwa wife analiwa na best childhood friend wake? I saw it coming.
Hata yeye atakuwa nashangaa huko alipo, mwanaume anawezaje kulala na mchuchu halafu abdala kichwa wazi asilete tabu yoyote!!!
Ooooh.... Masikini Mrs. PetCash, iwapo yule dada alikuwa na maambukizi ya VVU na mtoa mada akapata maambukizo it.means na mkeo naye atapata maambukizo....
Ndio maana tunaambiwa sio wote walioathirika walikuwa viwembe. Wengine wameambukizwa kwa ukware wa waume/wake zao!!!
Pole sana.... Daima majuto ni mjukuu!!!