Hata siamini kama nimenasa

Hahahahaha, smart move kutoka kwa mwenyeji wako. Atleast hakuna cha kujutia.

Kwa upande mwingine hata wewe pia ulikolea kutambo hata kabla ya jamaa kufanya hiyo plan ya kutoka. Hahahahahaaa ndio maana hakuna maswali ama residtance popote ktk story yako you just went with the flow (kama maji vile yanavyotiririka.
 
huko kwa ubama magonjwa kama hiv huwa hamna sana kama sub sahara Africa nikiwa huko mm nikutembea peku tu mwanzo mwisho
Usijidanganye wewe mimi hapa dc na maryland ukimwi upo sio sana kama huko lakini upo
 
Angalia tu wasifumue na marindaz maana hao Jamaaa bila pipe kukorokochoa huko mmbadooo - so akikamilisha mission ya Rindazi please uje tena hapa na mbwembwe zako utuambie tena ili wapendwa wako tulio bongoland tukuandalie pampas


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We acha tu

Hivi inakuwaje mtu anakuwa na guts ya kutangaza hili tendo la faragha to the public ya kwamba jana/juzi I did........??? Kama ni rahisi kutangaza hadharani kwa nini inafanyika faragha? Wakati mwingine busara ni muhimu hata kama tunatumia fake ID.

cc: Kasinde.
 
Hivi inakuwaje mtu anakuwa na guts ya kutangaza hili tendo la faragha to the public ya kwamba jana/juzi I did........??? Kama ni rahisi kutangaza hadharani kwa nini inafanyika faragha? Wakati mwingine busara ni muhimu hata kama tunatumia fake ID.

cc: Kasinde.

Her life her rules
Tumuachie yeye...kajichagulia hivyo
 
Umal.ya utakuua wewe, yaan mtu anakutoa dinner tuu, unamvulia pichu fasta...!! akikupeleka show room si utampa ule mtandao pendwa, 071... shame on you, mwanamke unakunya konyagi kaa mpasua mawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom