Hata siamini kama nimenasa

Hata siamini kama nimenasa

oohh really, and who told you that I wanna be pain that bride price, am not gonna get married though I loose mu nuts today doesn't mean that am gonna get married nop nah, mna kazi nyie mnaotafuta wake, mbona wako wengi wanaotafuta kuolewa but not me, as my theme here is kula life, anyaways in the morning ndo ntajua whether nikaze nuts zangu au nizilegeze to Sean but marriage is a vocabulary that is not in my dictionary, get it!!

Who would want to marry this shit anyway??
 
Natumai mpaka urudi, utakua umekinoa kigreza chako.

umejuaje? yaani slang imeshabadilika na kuwa ya kimarekani, but that doesn't mean nikirudi bongo I will not be able to speak pure swahili, nop am not of that kind japo nainjoy speaking in American tone.
 
Who would want to marry this shit anyway??

watu wagumu kuelewa wepesi kusahau, hata Mtambuzi alisema the issue and we were sent in this earth/planet to kuzaliana na kuijaza dunia sio kuolewa. kuolewa hakupo kwenye maisha yangu na kuzaa pia hakupo, its me, myself and I, GET ME!!! stop worrying about who will marry me!! I don't need one, once at a time just screwing and life goes on, and this happen at my own cost just for ur information.
 
we Kasinde amka basi utumalizie wenzako uhondo...mweeh!!!!!

see the updates my dear, Sean anataka kula mapishi yangu baada ya kuonja makeke ya kinyamwezi......, but I think I will end it off coz itanifanya nishindwe kula ujana looh. Mambo ya kuanza kuulizana uko wapi unafanya nini, unacheza na nani mbona yule kakukumbatia sana mbona umechelewa kurudi, ulikuwa unaongea na nani aaaggghh being free like a molecule is so sweet and happy, happy me, happy Kasinde, ME, MYSELF and I....
 
Unamzidi babu Dark City au wewe mdogo kwake? Shkamoo tena babu Tuko looh!!
dack City nimesoma nae bana..
Any way... juzi ulikuwa unajisemea hapa ooh, mi na wanaume tena baas.. nikakwambia bana wewe ulikula nguru kanuka shombo unalaani samaki wote...
Ona sasa umekula sijui ndo johari huyo... unajilambalamba hapa...
 
Last edited by a moderator:
dack City nimesoma nae bana..
Any way... juzi ulikuwa unajisemea hapa ooh, mi na wanaume tena baas.. nikakwambia bana wewe ulikula nguru kanuka shombo unalaani samaki wote...
Ona sasa umekula sijui ndo johari huyo... unajilambalamba hapa...

Hahahahaaa japo my mind tells me that you r in ur mid age like uko btw 30-45, tell me if am wrong and that age hujafaa kuitwa babu bado, otherwise uwe babu wa dizaini zile.... Tuko nilijua tuu utaniambia hivyo daah ila I think it happens once, I will try my best to be on my side of kula ujana na kupopo, nikianza kuendekeza hii mambo ntaharibu mipango yangu yote. By the way umekula supu ya utumbo leo? au leo umekula ya ulimi? Karibu tuinjoy summer huku jua linazama saa tatu na nusu au saa nne usiku, yaani usiku mfupi mchana mrefu, I already miss home na hivi ninavopopo, ila leo ntakuwa home siendi kupopo.
 
Hahahahaaa Tuko nilijua tuu utaniambia hivyo daah ila I think it happens once, I will try my best to be on my side of kula ujana na kupopo, nikianza kuendekeza hii mambo ntaharibu mipango yangu yote. By the way umekula supu ya utumbo leo? au leo umekula ya ulimi? Karibu tuinjoy summer huku jua linazama saa tatu na nusu au saa nne usiku, yaani usiku mfupi mchana mrefu, I already miss home na hivi ninavopopo, ila leo ntakuwa home siendi kupopo.

Leo nimekula supu ya mkia bana...
Jua kuzama saa 4 usiku?!!! Sasa hapo disco mnaanza saa ngapi maana raha ya disco ni zile taa za vimulimuli...
 
Leo nimekula supu ya mkia bana...
Jua kuzama saa 4 usiku?!!! Sasa hapo disco mnaanza saa ngapi maana raha ya disco ni zile taa za vimulimuli...

Woow!! umenikumbusha, huku pia nimekuta wanauza mkia wa ng'ombe ila unakuwa umeshachunwa so rahisi kuchemsha supu asubuhi na ndizi za kuchemsha akuuu kwa raha zetu, ndomaana siachi mazoezi vinginevyo unaweza kuwa fat kama wao maana wana miili balaa. Hongera kwa kuinjoy supu, disco ni indoors so ukiingia ndani hujui hali ya hewa ya nje ikoje, na kama tukienda disco huwa tunatoka saa tano usiku kurudi it depends na siku, other days midnight, other days majogoo etc.
You seam to be a disco champ eeehh kama nakuona ukiwa unaruka majoka heheheheee, vunja mifupa kama meno bado iko, ukizeeka au meno yakitoka unamung'unya tuu looh
 
Disco mi nilicheza sana bana enzi zile za virunga na inde monii...

Sasa, hata Sean alikuwa na mwili nyumba? Hakukuumiza kweli?
 
Disco mi nilicheza sana bana enzi zile za virunga na inde monii...

Sasa, hata Sean alikuwa na mwili nyumba? Hakukuumiza kweli?

Hahahahaaaaa Tuko umeanza, wakati wa inde monie nilikuwa darasa la kati la primary school u can emagine TV mbele kisha nacheza kuiga wale stage show kopi right na ikitokea sherehe tuu za home lazima tutoe shoo, it was fun by then life was sweet. Ndo maana nimeona nirudi in those years by kula ujana looh, now about Sean....... mmmhhh hahaaahaa he is huge but not XL not that big but he is tall, he exercise also ila yeye anacheza basket. Tuko should I answer this, shauriyako umeanza uchokozi mwenyewe, nop he didn't hurt me he was gentle though amenizidi urefu na unene kidogo, am fine Tuko he just made the game smooth and tender, thanks for caring hahahahahaaa unanifanya niwaze kitu flani hv.......:smiling::smiling:
 
Well... kama ulikuwa unaweza kuwaigizia stage show wa inde monii basi nina uhakika Sean kaenjoy.... hopefully nigga atakuwa anahadisia viuno vya kitz huko... safi sna kwa kuitangaza Tz in a positive way...lol
 
hahahaha stop it bana am not an ambasador na sijatumwa na mtu, am having my grooving and enjoying my soul...
Ofcourse he did enjoy and he tell me so, while he was peeing though I dont want to trust him I just take it as a game, as long as I get pleasure too, mpira ulivoisha alinifata jikoni na kuniambia u r so hot, tonight again nikasmile ila nataka kumtolea nje, tabia yangumoja mbaya ni kukinahi..... thats y I know am not gonna marry anyone coz I can not sustain repeating it everyday for the rest of the life naah!!

niko jikoni leo sijaenda jogging yaani wameniweza kweli looh, wasalimie watz huko
 
Back
Top Bottom