Link 🔗Ndio ukweli wa hiyo stori kaifuatilie. Bora angefunga ndoa, yeye kabeba mchepuko wake na kuuleta kwenye ndoa. Na wanalala kitanda kimoja. Hiyo si ni threesome. Kafuatilie mahojiano yao you tube.
Ibrahim alioa baada ya Sara kufaIbrahim alikuwa na wake wawili
Upi huo mkuuNyie ndo mnafata ujinga wenu wa kanisa
Una uhakika au?Ibrahim alioa baada ya Sara kufa
Kwa tamaa zao binafsi, Inashangaza sana.Kanisa limevamiwa na mpinga kristo!!!
Kwani Kijakazi anasemaje ,hapo mmeiga waislamu😅😅😅 watu waoe tu maana wana vitendea kazi
Kwanza tangu lini mitume wakazini? Ukristo unawachafua sana Mitume wa MunguWafalme na manabii kuwa na wake haiamanishi ni Sheria ya Mungu kutoa wake wengi. Daudi alizini, Suleiman alizini nk, je nasisi tuzini kisa Daudi na Suleiman walizini?. Biblia ipo wazi, ndoa ni ya mke Mmoja na kama unaweza kujizuia na tamaa ruksa kutokuoa.
Watu wa MUNGU wanaangamia kwa kukosa maarifa!Kwa tamaa zao binafsi, Inashangaza sana.
Hakika kabisa.Watu wa MUNGU wanaangamia kwa kukosa maarifa!
haya mambo yapo na ili threesome iende vizuri ukiwa nao wawili mnakaa nyumba moja na mnalala bed mojaHuyo analazimisha ujinga. Mtu kamleta mchepuko wake kwenye ndoa, kama sio three some ni Nini? Maana hiyo sio ndoa.
😅😅😅😅😅usichokifahamu labda, black americans ni communists na wengi ni muslims, ndiyo maana kuna nation of islam, nation of islam ilianzishwa (btw ilianzishwa na mzungu communist kwa ajili ya black people) ili ku-destroy USA from within, black amerikan wanatumika ku-destroy USA, wanaochagua muslims in the USA ni black americans, btw kuna >40 million black american in the USA na wengi wao communists, halafu wanashangaa kwa nini wazungu wanachukia black people, ni kwa sababu hiyo na siyo rangi, black people are used to destroy their country na hakuna kitu wanaweza kuwafanya kwa maana wamezaliwa huko.
communists hate black people ...
Yes, nina uhakika ukisoma Mwanzo 23 Sara amefariki, Mwanzo 24 Ibrahim anamuagiza Eliezeri kumtakia Isaka mke, then Mwanzo 25 Ibrahim anamuoa KeturaUna uhakika au?
Rekodi yake haijavunjwa hadi leo! Karne kadhaa zimeshapita.Achana na huyo Ibrahim.
Kuna mwamba anaitwa Suleiman.
Yeye alikuwa na wake 700 na masuria 300.
Uzuri Biblia ina kila kitu ndugu hata ukisoma 1Wakorontho 7, ukisoma yote inaopata vizuri, ni mume mmoja na mke mmojaMzee wa kanisa kazuiwa kuoa wake wengi,mosi kwasababu asilipe kanisa mzigo wa kuhudumia familia yake,hiyo ndio sababu kubwa
Hata mzee wa Upako alilizungumiza hili,hata maandiko yapo hivyo
. "1 Timotheo 3:2
“Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha.”
Lakini hao nao ambao hawaoi kabisa,je wameambiwa na nani? Nikimaanisha wakatoliki
Kwa maana nyingine wakristo ni watu wakujiamulia tu mambo,nomaa!
😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅fikiria hilo, USA ni modern Christian country au tuseme ilianzishwa kwenye hiyo misingi halafu black amerikan anawaambia na kuwafundisha black americans waoe mke zaidi ya 1 in the 21st century wakati hata arabs (saudi arabia polygamy ni <2% i.e wanaume wenye mke zaidi ya mmoja ni <2% , ni chini ya asilimi 2 ya wanaume wote wa saudi arabia na kati ya hiyo 2% 50% ni wahamiaji ktk poor muslim countries hivyo idadi ya native saudi men weye mke zaidi ya 1 ni kama 1% )wenyewe hawafanyi hivyo tena, sasa niambie kama siyo chuki dhidi ya black people ni nini? anataka black people wabakie back ward, kwani kama polygamy ingekuwa ni bora kwa maisha ya leo basi >80% ya muslim arabs wangefwata polygamy lkn ni chiini ya 5% ya arabs ndiyo wanafwata polygamy, sasa unafikiri ni kwa nini`?
communists hate black people ...
Basi maandiko yenu yanagongana,sasa kuondoa utata na kujua kipi sahihi,tunarudi nyuma je, historia nyuma inasemaje?Uzuri Biblia ina kila kitu ndugu hata ukisoma 1Wakorontho 7, ukisoma yote inaopata vizuri, ni mume mmoja na mke mmoja
Hapana hii si kweli kabisa unapotosha.Yes, nina uhakika ukisoma Mwanzo 23 Sara amefariki, Mwanzo 24 Ibrahim anamuagiza Eliezeri kumtakia Isaka mke, then Mwanzo 25 Ibrahim anamuoa Ketura
So ilikuwa baada ya Sara kufa