Hata mimi nakubaliana huyu mchungaji

Hata mimi nakubaliana huyu mchungaji

Yakobo,Abraham Suleiman hao wote walikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mungu aliyewaruhusu hao kuwa na wake wengi ni yupi na mungu mnayemtumia nyinyi kukataza wake wengi ni yupi?
Wapi Mungu aliwaruhusu waoe wake wa wawili? Kisa Saudi Katoa wake wawili ndio Mungu karuhusu?.
 
Akili yako imefikia ukomo wa kufikiria.
Ndio ukweli wa hiyo stori kaifuatilie. Bora angefunga ndoa, yeye kabeba mchepuko wake na kuuleta kwenye ndoa. Na wanalala kitanda kimoja. Hiyo si ni threesome. Kafuatilie mahojiano yao you tube.
 
Kwa hivyo Mungu ndio alimwambia aoe hao wanawake wote? Mwishowe ilikuwaje? Sio Kila ujinga aliofanya Nabii Mungu karuhusu.
Mtume aambiwe na nani kama sio Mungu aliyemtuma?

Au unahisi Abraham ni sawa na tapeli Paulo?

Halafu hata kama mwisho wa kuoa wake wengi ukiwa mbaya haiondoi ruhusa ya kuoa wake wengi.

Kuna watu wangapi wanaoa mke mmoja na huyo huyo mke mmoja wanaishia pabaya?

Nabii Luti(lot) alioa mke mmoja tu.

Je mwisho wake ilikuwaje?
 
Upotoshaji uko wapi?

Kwenye biblia kuna mitume na wafalme kibao waliokuwa na wake wengi.

Au hujui?

Baadae matapeli kina Paulo ndio wakaja na hadithi za kutokuoa au ukitaka basi uoe mke mmoja.
Wafalme na manabii kuwa na wake haiamanishi ni Sheria ya Mungu kutoa wake wengi. Daudi alizini, Suleiman alizini nk, je nasisi tuzini kisa Daudi na Suleiman walizini?. Biblia ipo wazi, ndoa ni ya mke Mmoja na kama unaweza kujizuia na tamaa ruksa kutokuoa.
 
Kwani nje ya maneno ya Paulo andiko gani Mungu kakataza kuoa wake wawili?
Jibu kwanza swali langu, ni wapi Mungu alimruhusu Ibrahim au Suleiman kutoa wake wengi? Jibu kwanza. Halafu nitajibu swali lako kwa ufasaha Zaidi.
 
Mtume aambiwe na nani kama sio Mungu aliyemtuma?

Au unahisi Abraham ni sawa na tapeli Paulo?

Halafu hata kama mwisho wa kuoa wake wengi ukiwa mbaya haiondoi ruhusa ya kuoa wake wengi.

Kuna watu wangapi wanaoa mke mmoja na huyo huyo mke mmoja wanaishia pabaya?

Nabii Luti(lot) alioa mke mmoja tu.

Je mwisho wake ilikuwaje?
Unaruka sana. Ni wapi Mungu aliwaruhusu waoe wake wengi? Unaelewa maana ya kuona wake wengi?
 
Back
Top Bottom