Hata madogo nao wanapiga 'chabo'!

Hata madogo nao wanapiga 'chabo'!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Huyu dogo ana makengeza au anajua anachokifanya?
 

Attachments

  • chabo.jpg
    chabo.jpg
    32.6 KB · Views: 1,247
watoto wa karne hii ya sayansi na teknolojia si sawa na wale wa miaka ya '70. Hawa wanafunguka macho na akili mapema. mmmmh, kanashangaa tu.
 
wee mtoto angalia hiyo kamera, na sio kuchungulia manynyo ya huyo dada
 
Mwanaume ni mwanaume hata akiwa mvulana hisia zipo pale pale
 
mtoto wanyoka ni nyoka, ukiona nyoka kazaa panya ujue hayo ni maajabu!
 
Hawa wenye makengeza huwa wananichanganya sana uaweza fikiri anaangalia pembeni kumbe anakuangalia.
 
Unajua watoto siku hivi wanakula arv ndio maana wanakuwa wakubwa na mambo ya kikubwa kwani sio tanzania mikuku inapewa arv hata ulaya imo hii faulo
 
Huyu mtoto atakuwa hatari sana akikua. Umri huu ameshaanza! Looh!
 
hivi wanaume wanaanza kuvutiwa na wanawake wakiwa wadogo hivi au dogo ana makengeza?
 
Ukijaribu kumuangalia kwa makini dogo inaonekana ana enjoy na serious anajua anachokiangalia.
 
Hahahaaaa! Dogo noma. Si jzi juzi tu ametoka kuyanyonya hayo?
 
Back
Top Bottom